This is very true, Kawe tuna hasara kubwa, huyu mheshiiwa hata asipokuwa polisi, magereza na mahakamani, hana muda kabisa na jimbo. Kwa bahati mbaya hata chama chake na Mwenyekiti wao ni bogus, trash kabisa ya hali ya juu, hata wangekuwa na akili wange fanya innovation kwa kuomba apumzike walete acting mbunge. Ninajuta sana kumpatia kura yangu huyu mama na chama chake, vituo vye polisi vimefungwa, barabara hazipitiki, mafuriko yasiyo ya lazima kwa kushindwa kuwakabili wapigaji kama bwana Kusaga Mandege wa hapa Zoo, hana muda wa kazi huyo halima yuko busy na mambo yake tu. Pili tabia njema ni silaha, Dr Slaa alikua anasema ukweli sana hata kutaja ile list ya mwembechai lakini hana matusi, dharau na utoto wa namba hii. huyu bibie siku chache tu zilizopita aliomba msamaha mbele ya taifa zima, leo karudia yale yale hata mahakamani kesi yake itakua ngumu sana kumtetea