Halima Bulembo: Bunge si lazima kuonekana live

Halima Bulembo: Bunge si lazima kuonekana live

Na ubunge wake wa mwe
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Halima Bulembo anasema anaunga mkono bunge kutorushwa live na kusema kurushwa live bunge kuna faida kwa wabunge wakongwe pekee.

"Nashangaa kumuona Mbunge kama Mbowe mwenye umaarufu mkubwa anataka aonekane 'live' bungeni, wakati hata mdogo wangu wa miaka sita anamfuhamu vizuri, wabunge vijana ndiyo waliopaswa kulalamikia hili,"

Kama mwananchi wa kawaida unapenda kumwambia nini mbunge huyu
87613147d1f35505f5a4bb3c1e96a63b.jpg

chanzo EAST AFRICA RADIO
Na ubunge wake wa kepewa mezani huo, hatutegemei kwamba atajadili suala la maana kuhusu mstakabali wa nchi
 
Tunajua fika ukiwa CCM,uwe mzee,kijana,msomi,usiye na elimu lazima uweke upeo wako kando.Ndio maana hatushangai profesa kuchangia kama mtoto wa darasa la 2
 
Tena umenikbusha yuko wapi asumpta
Halima bulembo= Abdala bulembo √josephu Msukuma+ Livingston lusinde× Assumpta mshama. Akili moja zisizoweza kuumiza akili kujenga hoja chanya ya kulisaidia taifa kusonga mbele
 
E.T.C End of Thinking Capacity,sura yake hailandani na alichozungumza,achilia mbali akili yake,nashawishika kuijua elimu yake kwanza kabla sijaendelea kumuhukumu..
 
Kwa akili zake bunge linarushwa live tuone sura?! Akili kama mzazi wake mi nilitegemea elimu imemkomboa kumbe walewale! Haya kama anafikiri sura ndio tuzitakazo wakae nazo warushe matangazo ya redio live basi?! CCM ni zaidi ya janga wote wanafanana mwenye elimu ya darasa la saba na wa chuo kikuu.
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Halima Bulembo anasema anaunga mkono bunge kutorushwa live na kusema kurushwa live bunge kuna faida kwa wabunge wakongwe pekee.

"Nashangaa kumuona Mbunge kama Mbowe mwenye umaarufu mkubwa anataka aonekane 'live' bungeni, wakati hata mdogo wangu wa miaka sita anamfuhamu vizuri, wabunge vijana ndiyo waliopaswa kulalamikia hili,"

Kama mwananchi wa kawaida unapenda kumwambia nini mbunge huyu
87613147d1f35505f5a4bb3c1e96a63b.jpg

chanzo EAST AFRICA RADIO
Ukitaka kujua tabia ya familia mwangalie baba..........
 
Huyu ni wa kumsamehe bure, hata ubunge wa viti maalumu aliupata kwa kupitia kwa baba yake Abdallah Bulembo aliyekuwa kampeni meneja wa Raisi Magufuli. Kwa hiyo ni lazima ataongea kama wanavyotaka waliompa ubunge

Sawa, lakini unasemaje kuhusu wabunge wa viti maalum wa CHADEMA na ambao asilimia kubwa wana uhusiano na viongozi wa ngazi za juu wa CHADEMA na ambao asilimia kubwa wanatoka eneo moja la nchi?
 
Husema siku zote anayeshabikia CCM ana maslahi nayo sio bure, na hata madudu yaliyoibuliwa na CAG watasema ni uzushi kisa anatetea kiti chake
 
ukifatilia njia alizopita mpaka akapata huo ubunge wa viti maal utaelewa ni kwanini amesema hivyo.
 
Kwani hapo alikokwenda kutoa pumba zake ni wapi kama siyo kwenye tv? Angewaambia basi wasimwonyeshe sura yake wala sauti yake isisikike. Hii siasa iliyogeuzwa ajira ya kudumu itawaumbua wengi. Au naye anauwinda ukuu wa wilaya? Hivi, toka ateuliwe keshawahi kutoa hoja yoyote au mchango wowote bungeni? Ngoja niachane nako kwani ni walewale wa ukoo wa kujipendekeza.
 
Husema siku zote anayeshabikia ccm ana maslahi nayo sio bure, na hata madudu yaliyoibuliwa na cag watasema ni uzushi kisa anatetea kiti chake
Wao kuamin mpaka Magu aseme, hata sasa magu ikitokea akasema MWENGE umestishwa watageuka kuanza kuimba Hasara zilizokuwa zinasababishwa na Mwenge. Sheeeda
 
Le akili kubwaz.. watu kama hawa ndio le_mbebez anawakubali sana, so mkitaka kujua habari zote za huyo "CHADEMA" mtafuteni huyo bwana.
 
Ubunge wenyewe WA kupewa sasa unategemea atamtetea nan zaid ya waliompa Ubunge? Half et hawa ndio watetez WA vijana bungen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom