Halima Bulembo: Bunge si lazima kuonekana live

Halima Bulembo: Bunge si lazima kuonekana live

Binti wa miaka 24 halafu wa CCM utafikiri ataklua na uwezo gani wa kufikiri? Halafu eti Chadema kuna undugu, hivi huu wa CCM sio undugu? Hahahahahaha nimekubali kweli CCM ni Slow learners wa makusudi
Vijana wote wa CCM waliofika vyuo vikuu,kwa mfano,hutoka na GPA za chini ya 2.5...ndo maana kwao siasa za kuropoka hovyohovyo tu ni easier option!
 
Vijana wote wa CCM waliofika vyuo vikuu,kwa mfano,hutoka na GPA za chini ya 2.5...ndo maana kwao siasa za kuropoka hovyohovyo tu ni easier option!
hahahahahahaa huwa najiuliza na kushangaa sana sana kwa kijana mdogo kuishabikia siasa ya CCM, najiuliza hivi akiwa mtu wa makamo na kuendelea si atakuja kuwa mchawi kweli? Heri kubaki bila chama kuliko kujiunga na CCM, kama kweli mtu una akili
 
Acha tu MKuu, inaudhi mno!
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Halima Bulembo anasema anaunga mkono bunge kutorushwa live na kusema kurushwa live bunge kuna faida kwa wabunge wakongwe pekee.

"Nashangaa kumuona Mbunge kama Mbowe mwenye umaarufu mkubwa anataka aonekane 'live' bungeni, wakati hata mdogo wangu wa miaka sita anamfuhamu vizuri, wabunge vijana ndiyo waliopaswa kulalamikia hili,"

Kama mwananchi wa kawaida unapenda kumwambia nini mbunge huyu
87613147d1f35505f5a4bb3c1e96a63b.jpg

chanzo EAST AFRICA RADIO
Halima bulembo= Abdala bulembo √josephu Msukuma+ Livingston lusinde× Assumpta mshama. Akili moja zisizoweza kuumiza akili kujenga hoja chanya ya kulisaidia taifa kusonga mbele
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Halima Bulembo anasema anaunga mkono bunge kutorushwa live na kusema kurushwa live bunge kuna faida kwa wabunge wakongwe pekee.

"Nashangaa kumuona Mbunge kama Mbowe mwenye umaarufu mkubwa anataka aonekane 'live' bungeni, wakati hata mdogo wangu wa miaka sita anamfuhamu vizuri, wabunge vijana ndiyo waliopaswa kulalamikia hili,"

Kama mwananchi wa kawaida unapenda kumwambia nini mbunge huyu
87613147d1f35505f5a4bb3c1e96a63b.jpg

chanzo EAST AFRICA RADIO

Huyu ni ile ile, mbele kwa mbele.....hoooolaaaa.
 
Ina maana buku7 hamumtetei huyu binti,nyie mpaka mpewe mgao na mje na povu
 
Siyo kosa lake. Inawezekana liambiwa tu kuwa inambidi awe mbunge, so kajikuta yuko Dodoma.
 
Elli nimeipenda koment yako, inshort sina addition, you have spoken it all
Waswahili tunayo methali isemayo 'wafu wakokotana' ikiwa na maana tanga na mashua yake. Sasa nauliza nani tanga na nani mashua kati yako na Elli?
 
CV yake mnaitakia ya nini?? CCM hakuna haja ya CV, tiyari tu jina la Bulembo ni CV toshaaaa. Amepewa nafwasi naye ajilambiepo zake. Shamba la bibi hilo. Lakini, Mhhh mzee Bulembo ulizaa, jamani penye ukweli semeni, kaache kazungumze hata kama ni chuya lakini si mmeoneshwa hiyo sura?? Pambafwaaaaa zake tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom