Halima Bulembo: Bunge si lazima kuonekana live

Halima Bulembo: Bunge si lazima kuonekana live

Kwa mtizamo wa huyu dada bunge live ni kutafuta kujulikana kwa wabunge,hafikirii upande wa pili kuwa ni kuwapa fursa wananchi kujua mpango wa matumizi ya kodi zao?Wat a poor thinking from member of parliament!shame
Hicho kibinti cha Bulembo hakina tofauti na Agnes Marwa vyote vimkariri Akili za Nape.
 
any way kwa kuwa hzo pumba ndizo zinazomfanya apate kula basi Gt wa hap Jf na Tanzania nzima hatuna budi kummpuuza ila ukweli anajidhalisha sana kwani kijana km huyo kuongea upuuzi huo kwa ajili ya tumbo lake ni hasara sana kwa taifa hili..km tutakuwa na vija wengi wenye mawazo km hayo.
 
Hao ndiyo viongozi andaliwa watakokuja kuwaongoza wajukuu zetu maskini
 
She is serving the masters. Wakati bunge linaonyeshwa live, kwa nini hakuwahi kulalamika? Anataka tu bunge lisionyeshwe kwa sababu chama chake kimesema hivyo, au hakuwa anaangalia bunge live hata wakati likionyeshwa? Ni vigumu sana kuwapata watu honest kwenye hicho chama.
 
Kaongea shits tuu....

Na hiki ndo kitakachonitoa ccm.....kwa mwendo huu nitatafuta kadi ya opposition soon...
 
Anasemaje huyo ***, kazi kwenda kutembea bungeni hata hamjui kilichowapeleka.
 
Huyu ni mojawapo ya wabunge wanaojielewa! Tatizo kubwa la wananchi ni afya, makazi bora,elimu, miundombinu, maji,utatuzi wa migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji na siyo kuangalia tv kama haitaleta suluhisho kwa matatizo yetu!
Elimu yetu imekuaje lakini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom