Nimemkumbuka Asumta Mshama!Hawa ndo Wale bendera fata upepo huko bungeni mdada mdogo tena kijana badala kujenga hoja yy kabakia kuitika ndioooooooooooo.

Nimemkumbuka Asumta Mshama!Hawa ndo Wale bendera fata upepo huko bungeni mdada mdogo tena kijana badala kujenga hoja yy kabakia kuitika ndioooooooooooo.

Mkuu haijawah kutokea dunani mbuzi akazaa binadamu,hivyo basi huyu mbunge anatabia zote za baba yake,yule mgogoMbunge wa Viti Maalum (CCM), Halima Bulembo anasema anaunga mkono bunge kutorushwa live na kusema kurushwa live bunge kuna faida kwa wabunge wakongwe pekee.
"Nashangaa kumuona Mbunge kama Mbowe mwenye umaarufu mkubwa anataka aonekane 'live' bungeni, wakati hata mdogo wangu wa miaka sita anamfuhamu vizuri, wabunge vijana ndiyo waliopaswa kulalamikia hili,"
Kama mwananchi wa kawaida unapenda kumwambia nini mbunge huyu![]()
chanzo EAST AFRICA RADIO
Hana tofauti na babake huyoElimu na uelewa wa kupambanua mambo ni tofauti kabisa. Anaelimu lakini pengine hawezi au ndio mtizamo wake
Tumekuelewa sana kiongozi ubarikiwe sanahuyu ni wa kumsamehe bure, hata ubunge wa viti maalumu aliupata kwa kupitia kwa baba yake Abdallah Bulembo aliyekuwa kampeni meneja wa Raisi Magufuli. Kwa hiyo ni lazima ataongea kama wanavyotaka waliompa ubunge
Wako pale kutumika kama maji baridi au juice baridi jangwaniHawa ndo Wale bendera fata upepo huko bungeni mdada mdogo tena kijana badala kujenga hoja yy kabakia kuitika ndioooooooooooo.
Sijui wananchi wa huko geita kama walitafakari kabla ya kumchagua huyo msukumaHuyo ni asante baba na Magufuli mlimtegemea asemeje wakati anahitaji na kipindi cha pili?Pia hayuko mwenyewe wapo na kina Msukuma wa Geita anaeshukuru bunge kutoenda live eti wananchi wa jimbo lake walikuwa wanahangaika kuwasha majenerator kuangalia bunge sasa wataenda mashambani kufanya kazi.Hajiulizi ni kwa nini hao wananchi walikuwa wanahangaika kuyawasha hayo majenerators kuangalia bunge live ilihali mashamba ya kulima yakiwepo.Haoni kuna walichokua wanakikosa na kugharamikia hayo majenerator.
Asante dada umesomeka,ebu wahi lumumba ukachukue buku 7Sasa kama yule mwenye shahada ya usanii mlimuamini kwamba angefaaa kua rais wa tz huku kwa huyu mbunge huoni kama unaleta chuki za UKAWA zisizo na msingi wowote?
Kama nchi mlitaka mmuachie msanii?
Siyo yeye tu wabunge wengi humu bungeni ni mizigo hasa hawa wa kuteuliwa, wanakwenda kulinda maslahi yao peke yao na ya waliowachagua. Hii si kwa CCM tu hata upinzani ndiyo maana kwa hili nampenda Zitto kabwe maana yeye hajali kuitwa msaliti pale anapoona kuna ukweli lakini watu walioelimika kama kina Tundu Lisu nao wananaswa katika mtego kama huu hata wale wa CCM walioelimika wanakisemea chama chao CCM bila kujali kama ni kwa manufaa ya umma ama manufaa ya CCM na kundi la majambazi. Demokrasia tanzani ni ya ujanja ujanja tu. Taabu sana ndiyo maana wakati mwingine nashangaa hata sisi wananchi tunaingia katika mkenge wa vyama vyetu ku support kila ujinga ili mradi unatoka katika midomo ya watu wenye itikadi moja na sisi utadhani ni lazima kuunga kila neno analosema Magufuli ama Mbowe tunajisahau kuwa sisi ndiyo mabosi wao hao wanasiasa.
hahahahaNasikitika kuona kodi yangu ikihudumia "kinyesi"[/QUOTE
hivi joyce mukya yupo?Ye anafikiri mbowe ana mda nae bahati mbaya ana mke na ana mweshimu kuliko kawaida
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Halima Bulembo anasema anaunga mkono bunge kutorushwa live na kusema kurushwa live bunge kuna faida kwa wabunge wakongwe pekee.
"Nashangaa kumuona Mbunge kama Mbowe mwenye umaarufu mkubwa anataka aonekane 'live' bungeni, wakati hata mdogo wangu wa miaka sita anamfuhamu vizuri, wabunge vijana ndiyo waliopaswa kulalamikia hili,"
Kama mwananchi wa kawaida unapenda kumwambia nini mbunge huyu![]()
chanzo EAST AFRICA RADIO