Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

Hawa polisi wanachofanya sasa hv ni kutengeneza mambo yao tu!Najaribu tu kufikiri kuwa kama huyu Lwakatare aliamua kuiuza CDM inawezekana vp katika hali ya Afya kama hii!CCM katika hili mnafahamu mnachofanya na mwisho wa siku kila jambo litadhihiri!Pimbi nyie!

Uko sahihi maana kama angekuwa ameshiriki kwa kununuliwa wasingemfanyia yote haya. Shida inakuja clipp ile ni feki sasa wanajatibu kukonecti dot lakini hazileti mstari mnyoofu na nadhani ndiyo chanzo cha kuendelea kumng'ang'ania.
 
Masanilo my brother

Nawashauri kuwa makini sana na LWakatare.......... msije mkaingia chaka

yes it is not fair kunyimwa haki, lakini issue yake inabeba zaidi ya misalaba

kuna walionyimwa haki na jamii ikakaa kimya, hakuna uhakika wa 100% kwamba jamaa ni clean, his history is betraying him and the "system" has really done his homework in protecting the ruling community

Just handle this matter with care
 
Ndugu wanajamiiforum Kama Kweli W.L level yake ya sukari imefikia either 15mmol/l au 17mmol/l madhara yafuatayo yaweza mpata wakati wowote
1.DKA(diabetic ketoacidosis)ambapo anaweza pata madhara ya kupoteza faham atimaye kuharibu ubongo Na hata kifo within short time.
2.shindikizo la damu ambalo likasababisha macho kutoona,pia stroke(kupalalize) Na figo kuharibika.
Lwakatare afanyiwe utaratib aashushiwe sukari hiyo
viongozi chadema fuatilieni hili
 
siasa ikiwa damuni mtu yuko radhi hata aue ili mradi afikie malengo yake, watawala hulinda viti vyao hata kwa kuchafua watu......hadi mbele ya ugonjwa jaman?
 
Masanilo my brother

Nawashauri kuwa makini sana na LWakatare.......... msije mkaingia chaka

yes it is not fair kunyimwa haki, lakini issue yake inabeba zaidi ya misalaba

kuna walionyimwa haki na jamii ikakaa kimya, hakuna uhakika wa 100% kwamba jamaa ni clean, his history is betraying him and the "system" has really done his homework in protecting the ruling community

Just handle this matter with care

Hebu fafanua vizuri.........wengine akili zetu nyembamba bado hazijajua methali
 
...hii issue ya Lwakatare ni bomu linalokaribia kulipuka.....Kwanza kitendo cha hawa polisi kutojali hali yake kiafya inaweza kuwagharimu sana hawa polisi.....maana hata kama mtu alikuwa mgonjwa wa kisukari na anaetumia dawa....hali hii ya stress ya kuwekwa mahabusu bila kufunguliwa mashtaka inaweza ikawa imechangia sukari yake kupanda...hata kama anatumia dawa......hili tu kisheria linaweza kuwafunga polisi vibaya sana...wao wanafanya mzaha na maisha ya watu.....hii kitu inaweza ikaondoa issue yake ya video feki kuwa case kubwa sana sana ya ukiukwaji wa haki za binaadamu....naomba hili liwe angalizo kwa wanasheria wa chadema.....Nashukuru kwenye jopo lake la wanasheria wako kina Mh.Lissu....hii kitu ya kumtesa mgonjwa(hata kama ni mtuhumiwa)haikubaliki kabisa kisheria......
 
hawa polisi wanataka kuua makusudi halafu baadae waje waseme amekufa kutokana na madhara ya kupanda kwa sukari. hii ni kinyume cha haki za binadamu kabisa , kila mtu ana haki ya kuishi na kupewa fursa ya kupata matibabu hasa ukiwa chini ya ulinzi wa polisi.
 
Masanilo my brother

Nawashauri kuwa makini sana na LWakatare.......... msije mkaingia chaka

yes it is not fair kunyimwa haki, lakini issue yake inabeba zaidi ya misalaba

kuna walionyimwa haki na jamii ikakaa kimya, hakuna uhakika wa 100% kwamba jamaa ni clean, his history is betraying him and the "system" has really done his homework in protecting the ruling community

Just handle this matter with care

Ni kweli kuwa kama jamii tumetia aibu kukaa kimya pale watu fulani waliponyimwa haki zao na kuwekwa kizuizini muda mrefu. Hata hivi sasa kuna watu wamekaa kizuizini muda mrefu zaidi ya Lwakatare.

Hata hivyo whether he is clean or not ana haki ya kupata insulin au dawa zake za kisukari. Hilo wala si la kuomba ni la LAZIMA.

Kwa vile tumetia aibu kwa kukaa kimya kwa unyanyasaji huko nyuma, hili la Lwakatare linaweza kuwa kama reference point. Tuanzie hapa ili huko mbele kila anayenyanyaswa aseme "mbona Lwakatare alisaidiwa na jamii" na hapo kuikumbusha tena jamii kusimama against unyanyasaji. Polisi hawawezi kuishape jamii, sisi wenyewe ndio tuna jukumu la kuishape jamii. Lets do it TODAY...
 
Masanilo my brother

Nawashauri kuwa makini sana na LWakatare.......... msije mkaingia chaka

yes it is not fair kunyimwa haki, lakini issue yake inabeba zaidi ya misalaba

kuna walionyimwa haki na jamii ikakaa kimya, hakuna uhakika wa 100% kwamba jamaa ni clean, his history is betraying him and the "system" has really done his homework in protecting the ruling community

Just handle this matter with care

Absolutely

CDM hawako wajinga, pamoja na hii dhahama Lwakatale ana hoja ya kujibu hata kama alikuwa framed. He should come up clean otherwise madaraka aliyopewa ni makubwa sana kwenye chama. Nakumbuka Mh Lwakatale alikuwa haaminiki hata alivyokuwa CUF. Ni mtu wa system isije kuwa alikuwa na mipango ya kuangamiza CDM. Pamoja na kuwa anahaki ya kuwa hurt uongozi wa juu CDM wamwangalie kwa jicho la tatu.
 
Na ole wao wamuue,I swear Over my dead body...I am going to butcher someone.
 
Kweli mtu anakuwa chini ya polisi kwa masaa karibu 72 bila kuwa charged na watu wanasema wanaheshimu 'utawala wa sheria'?

Kama Polisi wangekuwa na ushahidi wa kutosha kutengeneza kesi wangeshamfikisha mahakamani kwa mara ya kwanza ili awe charged. Sasa hivi inaonekana hawatafuti ukweli tena bali wanatafuta namna ya kuwa-tie watu wengine kwenye huu uzi ambao wanaamini wanao.

Hallow,picha yako nimeipenda,ina nikumbusha gazeti la Mwanahalisi,
Lakini mambo haya yaatendelea muda mrefu kwa kua watanzania kuna ugonjwa wa kuto ipenda haki,nasema hivyo kwa kua Familia ya Lwakatale wanafanya juhudi gani mpaka sasa, naona wanasheria wanahangaika peke yao huku Familia haijihangaishi kabisa na jambo hilo,Hata hivyo upofu huu watanzania utaisha lini,ni wakati wakufikia hatua magamba watolewe kafara,kwani?... hatuwezi kuishi bila magamba.....,kuna wakati famlilia ikifiwa hujenga hofu kua maisha yatakua machungu kuliko kawaida na baada ya hapo familia huzoea na kumkabidhi mungu maisha ndio ufumbuzi,lakini believe me we can still make it without Magamba,haya majamaa niko karibu nayo,wanajua fitna vibaya,jiulize chaguzi za ndani wanavyofinyana kama wehu,sembuse kuiacha nchi,we need to work as a team to eliminate this monster,vyama hivi viweke lengo la kuiondoa cm,waunganishe nguvu,la sivyo this devil are more capable than we are thinking of.
 
Masanilo my brother

Nawashauri kuwa makini sana na LWakatare.......... msije mkaingia chaka

yes it is not fair kunyimwa haki, lakini issue yake inabeba zaidi ya misalaba

kuna walionyimwa haki na jamii ikakaa kimya, hakuna uhakika wa 100% kwamba jamaa ni clean, his history is betraying him and the "system" has really done his homework in protecting the ruling community

Just handle this matter with care

Angepewa tiba kwanza then hayo mengine baadae
 
Kweli mtu anakuwa chini ya polisi kwa masaa karibu 72 bila kuwa charged na watu wanasema wanaheshimu 'utawala wa sheria'?

Kama Polisi wangekuwa na ushahidi wa kutosha kutengeneza kesi wangeshamfikisha mahakamani kwa mara ya kwanza ili awe charged. Sasa hivi inaonekana hawatafuti ukweli tena bali wanatafuta namna ya kuwa-tie watu wengine kwenye huu uzi ambao wanaamini wanao.

Hallow,picha yako nimeipenda,ina nikumbusha gazeti la Mwanahalisi,
Lakini mambo haya yaatendelea muda mrefu kwa kua watanzania kuna ugonjwa wa kuto ipenda haki,nasema hivyo kwa kua Familia ya Lwakatale wanafanya juhudi gani mpaka sasa, naona wanasheria wanahangaika peke yao huku Familia haijihangaishi kabisa na jambo hilo,Hata hivyo upofu huu watanzania utaisha lini,ni wakati wakufikia hatua magamba watolewe kafara, kwani?... hatuwezi kuishi bila magamba.....,kuna wakati famlilia ikifiwa hujenga hofu kua maisha yatakua machungu kuliko kawaida na baada ya hapo familia huzoea na kumkabidhi mungu maisha ndio ufumbuzi,lakini believe me we can still make it without Magamba,haya majamaa niko karibu nayo,wanajua fitna vibaya,jiulize chaguzi za ndani wanavyofinyana kama wehu,sembuse kuiacha nchi,we need to work as a team to eliminate this monster,vyama hivi viweke lengo la kuiondoa cm(magamba),waunganishe nguvu,la sivyo these devil are more capable than we are thinking of.
 
msitudanganye huyu Bradley Manning huko kwenu amekuwa ndani siku ngapi. wale watu wa osama siku ngapi.
uingereza siku ngapi kama sio 28.

gaidi akifia ndani sawa tu

Back
Top Bottom