Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

Nakubaliana na wewe mkuu......ni lazima viongozi wa chama waseme chochote......vinginevyo tutampoteza kamanda...... Nchi hii bana daaa!!! Tutaandamana kweli
mama kadogoo sabal kheri!! nimekumisijeeee?? kuna mambo yanatia hasiraaaaaa, hao polisi wa ccm wameniharibia jumamosi yangu!! laana khum!
 
Kwani ukisoma 15mmol/l ni normal?hawa polisi waangalie kwa makini hata kama ni mwalifu on which sikubaliani nao ana haki zote za kupata matibabu sahihi na kwa wakati muafaka.nomal RBG ni3.5-6.5mmol/l

Ala! leo hii tena ndo mnaaza kujua kuwa hata mtuhumiwa/muhalifu anayo haki ya kupata matibabu?
si ni nyinyi CDM mloshikilia mabango kuwa sheikh Ponda na viongozi wetu wa UAMSHO wasipewe haki hizo mnazozipigia makelele leo. Mkuki kwa nguruwe?
 
Off topic ustaadhi, fungua thread nyingine....sorry
 
kama alikuwa anajua anaumwa kwanini anapanga mauaji! acha polisi waendelee kufanya kazi yao!

Kwa hiyo kumuua ndio jibu? We nae ni kilaza kama hao vilaza wanaomshikilia bila kufanya chochote...... Tanzania bila ccm inawezekana.....siku zenu za kutesa wana wa nchi hii zinahesabika
 
Hawa jamaa ni wauaji kabisa! Yani hawana sababu za kumpeleka mahakamani kwa nini wana mg'ang'ania? Hawa jamaa wanazidi kudhihirisha njama zake!
 
Cacico ---utu wa nini? yeye alivyokuwa anapanga mauaji alikuwa na utu! acha wamshikishe adabu! na wewe katili sana wewe, hufai kuwa mke!
 
Ala! leo hii tena ndo mnaaza kujua kuwa hata mtuhumiwa/muhalifu anayo haki ya kupata matibabu?
si ni nyinyi CDM mloshikilia mabango kuwa sheikh Ponda na viongozi wetu wa UAMSHO wasipewe haki hizo mnazozipigia makelele leo. Mkuki kwa nguruwe?

Hayo ya sheikh ponda nenda kayafungulie uzi wake jukwaa la dini.......hapa tunamzungumzia kamanda wetu
 
Ala! leo hii tena ndo mnaaza kujua kuwa hata mtuhumiwa/muhalifu anayo haki ya kupata matibabu?
si ni nyinyi CDM mloshikilia mabango kuwa sheikh Ponda na viongozi wetu wa UAMSHO wasipewe haki hizo mnazozipigia makelele leo. Mkuki kwa nguruwe?

Mkiitwa vilaza mnalalamika, acha kujadili udini jadili hoja.
 
Cacico ---utu wa nini? yeye alivyokuwa anapanga mauaji alikuwa na utu! acha wamshikishe adabu! na wewe katili sana wewe, hufai kuwa mke!
mke wa ccm sabal kheri?? naona unaipigania haswaaaaaaaa ccm!
 
outrageous!!and this has medico-legal implications,it's against human rights,ole wao akienda into coma because of their negligence
 
Yaani Polisi wa Tanzania mpaka waone watu wameshakasirika kwenye mtandao ndiyo waanze kushituka kama walivyofungua mashitka kupitia mtandao!!

Laiti kama akifa Lwakatare chuki dhidi ya polisi itakuwa kubwa sana maana hakuna la maana watakalosema likaeleweka!

Au wanasubiri awe na hali mbaya zaidi ili wampe mashinikizo ya kukubali clipp ile kisha arekodiwe ili malengo yao yafikie?? Nini kinachoendelea katika ouvu huu??
 
Hawa polisi wanachofanya sasa hv ni kutengeneza mambo yao tu!Najaribu tu kufikiri kuwa kama huyu Lwakatare aliamua kuiuza CDM inawezekana vp katika hali ya Afya kama hii!CCM katika hili mnafahamu mnachofanya na mwisho wa siku kila jambo litadhihiri!Pimbi nyie!
 
Yaani Polisi wa Tanzania mpaka waone watu wameshakasirika kwenye mtandao ndiyo waanze kushituka kama walivyofungua mashitka kupitia mtandao!!

Laiti kama akifa Lwakatare chuki dhidi ya polisi itakuwa kubwa sana maana hakuna la maana watakalosema likaeleweka!

Au wanasubiri awe na hali mbaya zaidi ili wampe mashinikizo ya kukubali clipp ile kisha arekodiwe ili malengo yao yafikie?? Nini kinachoendelea katika ouvu huu??

inauma asee........yaani
 
Back
Top Bottom