Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

Ala! leo hii tena ndo mnaaza kujua kuwa hata mtuhumiwa/muhalifu anayo haki ya kupata matibabu?
si ni nyinyi CDM mloshikilia mabango kuwa sheikh Ponda na viongozi wetu wa UAMSHO wasipewe haki hizo mnazozipigia makelele leo. Mkuki kwa nguruwe?
shekh ponda ana ugonjwa gani?
 
Wanatulazimisha wananchi kuwaondoa madarakani kabla 2015 haijafika........ Wameifanya tanzania ni yao peke yao......wanakula na vipofu huku wakiwashika mkono
Time will tell ,wanachokipanda wwtakivuna soon .Serikali yenye hujuma na uonevu kwa wananchi wake siku zote inaishia pabaya .
 
Back
Top Bottom