Hali ya wanachuo mtaani

Bora mtu Sasa asisome,
 
Vigezo vipi vinakutoa nje ya mfumo?
 
Kuna mdada hapa kamaliza udom mwaka juzi, yupo anauza kande! Ni huzuni kwakweli.. kwenye elimu wengi wametapeliwa.. na huu ni utapeli wa wazi
Kuna jamaa kamaliza saut,afu karudi kwao kijijin hatak kukubaliana na hali kuwa kamaliza chuo na hana mishe,kila siku namuona anachomekea na kuvaa ksmart vikadeti vyake vya chuo na shati za mtumba

Wenzie tulishapigika kitambo sahv tunaendesha boda boda ila najua baada ya nusu mwaka atanyooka tu hasa huto tukadet tukianza kuchanika kwenye magoti
 
eti kazi za kujiajiri hazijawahi kumtoa mtu😅,endelea kujidanganya
 
Comment ya kikatili Sana hii [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]
 
nmechekaa kwa sauti jamani dah 🤣🤣
 
Huyu mwanamke ana Entrepreneur mind set within a year ame face reality nakujua kuna maisha mengine kabisa baada ya kumalizia UN na kuhakikishia brother huyu mwanamke mpe muda mfupi utakuja kushangaa anakuwa na restaurant ya maana kama hato kataa tamaa.

Kosa ulilo fanya ni moja tu ungempa hope na kumwambia umashagua kitu cha kufanya kilicho sahihi kuliko kusubiri ajira.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Chuo gani unasemea?
 
Kiukwel kuna wengine hata kama ajira zipo lakin hawez kupata

Kuna watu wana maGPA makubwa lakin kwenye interview ni madomo zege
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila hicho cha udomo zege ktk intervoo, mie hapanaa.
 
Ahahaha wenzako tulishaibgia kwenye mfumo miaka mingi sanaaa... Pambaneni majobless
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sio shida zangu, afu fursa za kutoboa mie zipo waziii, ni maamuzi tyuuh.

Yaan nikigusaa huyooooo napepeaaa,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kwelii jamani.
 
ukitaka ufe mapema, tegemea kilimo hasa kulima na kusubiri mvua inyeshe. utakufa
usione wakulima wanachagua ccm, ni kilimo kimewaharibu akili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sio shida zangu, afu fursa za kutoboa mie zipo waziii, ni maamuzi tyuuh.

Yaan nikigusaa huyooooo napepeaaa,
[emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]. Au siyo.
 
Hawakuona kwamba ile ilikuwa kiasiasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…