Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Tuwaombee hawa watu wanaishi maisha ya kunuka
Shida ni kuwa wanadharau sana wengi wao hasa wakichukua hiyo mikopo akajenga kichuguu na kununua magari ya watoto wanaona maisha wamemaliza

Hapo sijaongelea hilo gari kuendeshwa tarehe 23_27 baada ya hapo ni kutembea tu.

Mijinga mijinga sana
 
Walimu wenyewe ni tatizo , serikali inajua hili kundi Lina wajinga wengi ndo mana wajanja huwa wanasepa akifanya kazi miaka mitatu au minne anakimbia , serikali inaajiri mostly watu waliofeli na wasio na tumaini na wengi wakiwa na poor economic status kutokea home , hvyo wanataka hata walipwe Mia ili kujikimu , aisee usirogwe ukawa kwenye hili kundi , na ukiwa na jonzi za kudai haki zako hili kundi litakusaliti ,
Strategy nyingine ya serikali kwenye hili kundi ni kujaza wanawake .... Hii Kada inahitaji revolution Kwa kweli ....
Hili kundi ukiwatetea wanakunanga wanasema sisi hatujakutuma
 
Nani awepe. Walimu kimsingi ndio sehemu kubwa ya watumishi laiti wangelikuwa na umoja na ujasiri serikali ingewaheshimu. Shida ni waoga, wabinafsi na wana roho mbaya humohumo, ni kada yenye shida. Tangia chronic hasa UD mgomo ukiitishwa huwezi kumwona mwalimu wanajificha halafu wanaendekeza sana dhiki.
Yani mpaka pesa za kujikimu hawajapewa?? Jamani [emoji22]
 
Japo siungi hoja yako kuhusu mishahara moja kwa moja ila kuhusu Walimu, kwa sasa nchi yetu haina walimu wenye ile mioyo ya walimu wetu wa zamani. Walimu wa sasa wapo kwenye huo ualimu kwa sababu walijaribu sehemu nyingine ikashindikana.

Kwa sisi tunaofanya tafiti kuhusu hizi shule za kata, hao walimu wanachangisha michango mingi sana kutoka kwa wazazi ambazo ukiziangalia utajua ni kwa lengo tu la kujipatia pesa za kujikimu nje ya mshahara. Na wamepangana kabisa kila jumamosi au ijumaa mwalimu fulani atakuwa na mtihani na ni lazima kila mwanafunzi alipe 500. Sasa piga hesabu ya 500 mara hiyo idadi utaona kama ni kweli tatizo ni mshahara au tatizo ni walimu kutokuwa na moyo wa kufundisha.

Lakini pia kingine ni idadi kubwa ya wanafunzi ndani ya darasa moja, kuna shule moja wanafunzi wa kidato cha kwanza tu ni zaidi ya 600 na unakuta madarasa ni manne na idadi ya walimu katika shule moja haizidi 30. Hili ni tatizo, kama mzazi na mtoto asipojitambua ni ngumu sana mwalimu kumsimamia mtoto mmoja mmoja.

​
Sasa kama hawapewi posho unataka waishije, huo viongozi wanaopayuka uzalendo ndowanapakia twiga zinaenda uarabuni
 
Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani shinyanga ndoalikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa

Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha Ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi flani Kwa siku

Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndowanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku

Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndomshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi

Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kaz Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo View attachment 2471613
Tobaaaaaaaaah!!! Sasa 4m 4 hawa watoto wanatoka na nn? Si 0 tyuuh. Maskini wee shule za Dar mmmh. Siziamini.
 
Japo siungi hoja yako kuhusu mishahara moja kwa moja ila kuhusu Walimu, kwa sasa nchi yetu haina walimu wenye ile mioyo ya walimu wetu wa zamani. Walimu wa sasa wapo kwenye huo ualimu kwa sababu walijaribu sehemu nyingine ikashindikana.

Kwa sisi tunaofanya tafiti kuhusu hizi shule za kata, hao walimu wanachangisha michango mingi sana kutoka kwa wazazi ambazo ukiziangalia utajua ni kwa lengo tu la kujipatia pesa za kujikimu nje ya mshahara. Na wamepangana kabisa kila jumamosi au ijumaa mwalimu fulani atakuwa na mtihani na ni lazima kila mwanafunzi alipe 500. Sasa piga hesabu ya 500 mara hiyo idadi utaona kama ni kweli tatizo ni mshahara au tatizo ni walimu kutokuwa na moyo wa kufundisha.

Lakini pia kingine ni idadi kubwa ya wanafunzi ndani ya darasa moja, kuna shule moja wanafunzi wa kidato cha kwanza tu ni zaidi ya 600 na unakuta madarasa ni manne na idadi ya walimu katika shule moja haizidi 30. Hili ni tatizo, kama mzazi na mtoto asipojitambua ni ngumu sana mwalimu kumsimamia mtoto mmoja mmoja.

​

Japo siungi hoja yako kuhusu mishahara moja kwa moja ila kuhusu Walimu, kwa sasa nchi yetu haina walimu wenye ile mioyo ya walimu wetu wa zamani. Walimu wa sasa wapo kwenye huo ualimu kwa sababu walijaribu sehemu nyingine ikashindikana.

Kwa sisi tunaofanya tafiti kuhusu hizi shule za kata, hao walimu wanachangisha michango mingi sana kutoka kwa wazazi ambazo ukiziangalia utajua ni kwa lengo tu la kujipatia pesa za kujikimu nje ya mshahara. Na wamepangana kabisa kila jumamosi au ijumaa mwalimu fulani atakuwa na mtihani na ni lazima kila mwanafunzi alipe 500. Sasa piga hesabu ya 500 mara hiyo idadi utaona kama ni kweli tatizo ni mshahara au tatizo ni walimu kutokuwa na moyo wa kufundisha.

Lakini pia kingine ni idadi kubwa ya wanafunzi ndani ya darasa moja, kuna shule moja wanafunzi wa kidato cha kwanza tu ni zaidi ya 600 na unakuta madarasa ni manne na idadi ya walimu katika shule moja haizidi 30. Hili ni tatizo, kama mzazi na mtoto asipojitambua ni ngumu sana mwalimu kumsimamia mtoto mmoja mmoja.

​
Umesogeza dishi,Rudi kwenye mada
 
Shida ni kuwa wanadharau sana wengi wao hasa wakichukua hiyo mikopo akajenga kichuguu na kununua magari ya watoto wanaona maisha wamemaliza

Hapo sijaongelea hilo gari kuendeshwa tarehe 23_27 baada ya hapo ni kutembea tu.

Mijinga mijinga sana
Hhhahaha mijinga milofer ipoipo tu
 
Nani awepe. Walimu kimsingi ndio sehemu kubwa ya watumishi laiti wangelikuwa na umoja na ujasiri serikali ingewaheshimu. Shida ni waoga, wabinafsi na wana roho mbaya humohumo, ni kada yenye shida. Tangia chronic hasa UD mgomo ukiitishwa huwezi kumwona mwalimu wanajificha halafu wanaendekeza sana dhiki.
Hhhahaha mwalimu akidai haki zake hiyo siku nakata mkono wangu ishara ya kuwa Enzi
 
Waalim huwa ni waoga sana tafuta tu cruiser hardtop kusanya na marafiki zako wanne mvae suti alaf kavamien shule yoyote kupiga mkwara mtawagombeza Hadi mchoke ila hakuna jasiri hata mmoja atakae uliza nyie ni kina Nani, muda wote ni waoga hata kudai maslahi huwa hawawezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa mbavu cnaaaa.
 
Shida ni kuwa wanadharau sana wengi wao hasa wakichukua hiyo mikopo akajenga kichuguu na kununua magari ya watoto wanaona maisha wamemaliza

Hapo sijaongelea hilo gari kuendeshwa tarehe 23_27 baada ya hapo ni kutembea tu.

Mijinga mijinga sana
Rudi Kwenye mada,Achana dharau binafsi za mtu,hata madaktari,manesi,wahasibu,ugani,polisi na wakurugenzi baadhi Yao wanadharau
 
Sasa kama hawapewi posho unataka waishije, huo viongozi wanaopayuka uzalendo ndowanapakia twiga zinaenda uarabuni
Sasa kama posho wanajitafutia wenyewe kupitia michango kwa wazazi hiyo hali mbaya unayoizungumzia inatoka wapi?

Kwamba, matokeo mabovu ya wanafunzi ni kwasababu walimu wanalipwa kidogo? Hebu tuanzie kwenye hicho kidogo unachozungumzia wewe ni kiasi gani?

Halafu ukimaliza nenda kafanye tafiti kwenye hizo shule zilizofelisha vibaya kama hiyo uliyopost walimu wanachangisha michango kiasi gani.

​
 
Leo naona wanakuangalia tu ..umegusa kwenye mshonooo..dada yangu ni mwalimu eti alipangiwa kutoka Arusha akasahihishe mitihani Mtwar ndani ndani huko kinachotokea mwalimu hahangaiki saaanaa Kama mwanafunzi mwandiko ni mbaya tarajia zero no time tu westi..kufanya usichopenda nimemwahidi ntafanya FOREX nimpe mtaji ..afu iv ni kwanini hata boda boda reference ya hela zao wanajilinganisha na maticha Kuna jambo hapo[emoji846]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walimu ni vilio tyuuh. Ila serikali inafanya sio poa kwa kweli. Inaharibu taswira ya kizazi cha baadae.
 
Sasa kama posho wanajitafutia wenyewe kupitia michango kwa wazazi hiyo hali mbaya unayoizungumzia inatoka wapi?

Kwamba, matokeo mabovu ya wanafunzi ni kwasababu walimu wanalipwa kidogo? Hebu tuanzie kwenye hicho kidogo unachozungumzia wewe ni kiasi gani?

Halafu ukimaliza nenda kafanye tafiti kwenye hizo shule zilizofelisha vibaya kama hiyo uliyopost walimu wanachangisha michango kiasi gani.

​
Serikali iwaangalie walimu kama watumishi full stop
 
Naam malipo ya mtumwa huwa hayana maelezo.Unapewa kadri wanavyojisikia,lakini jiulize je Kada nyingine zinapofanya Tu semina ujue watalipwa posho zao Kwa mujibu WA muongozo WA utumishi WA umma,lakini mwalimu akiitwa kwenye semina yoyote ujue atapewa kanauli ambacho mtoaji atajisikia alafu utasikia mwanasiasa amesimama,tunawajali walimuuu,labda walimu China
Na wakati wa uchaguzi, hao walimu ndo viherehere wa kuwa wasimamizi na makarani, ili wawape ulaji watesi wao.

Acha wanyooshwe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom