Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Reformation needed, walimu wenye utashi, contracts zao za kikazi, majukumu yao siku kwa siku, performance zao kazini mwao, underperfomence wawe wanaondolewa haraka, mikataba ya kikazi ifupishwe, miaka yao kazini iwe 25yrs only or less, kupisha na wengine au damu changa iliyochenjuliwa vyema.
Mbona hugusi mishahara na posho, we jamaa sijui upo Kwa shemeji
 
Mkuu sio ndogo ila kiutaratibu iyo ara nauli bado aitoshi, mtwara dar then dar shinyanga na kurudi plus per deim ya njiani, then sasa ndio upate malipo ya kazi iliyokupeleka. Sehemu nyingine iyo ni dili unakunja pesa ya maana tuu na hamna kuzungushwa wala.
Laki tano ni pesa ambayo haitoshi hata kununua nguo za watoto Kwa ajili ya sikukuu ya Christians na mwaka Mpya
 
Basi wanazngua wenyewe kwanza kukubali tuu kupokea icho kiasi, maana kama wamekaa mwezi mzima apo wengine tungekunja kwa makadirio ya chini 4.5M.
Ukikataa anapigiwa simu mkurugenzi wa halmashauri uliyotoka anaambiwa fukuza huyu tsc wanapewa kimemo tu
 
Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani shinyanga ndoalikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa

Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha Ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi flani Kwa siku

Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndowanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku

Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndomshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi

Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kaz Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo View attachment 2471613
Haya matokoe yaliharibika siku aliposema tuna jambo letu alafu akawapa watu 4,000/-
 
Mrembo usicheke kalichunguze hilo leo .

Yaani kwenye familia yenu kama yupo mwalimu basi ikitokea shida mpime ni vipi anatatua shida iliyo mbele yenu ni watu wa mihemuko na poor thinking ability

Hapo sijagusia yakikaa ofisini utayasikia mwaka huu nataka nikajiendeleza huko kwenye kujiendeleza sasa kiswahili hayajui kingereza hayajui ni kuungaunga na mwisho yanarudi kazini no kupanda daraja wala nini ila bla bla kibao mara oooh nataka kuhama kada [emoji16][emoji16]

Nani kasema basi yanajikuta yanazeeka na umasikini wao hapo sijaongelea kuyakuta kwenye vijiwe yanahesabu gari za watu mara ooh hili gari la fulani mara la yule [emoji16][emoji16]

Hayo ya kiume ya kike yakiona unapendeza basi ukitongoza ni kuteleza tu unayabandua tu .

Sasa haya ya kiume hela hayana yana vigari vya watoto vya mikopo ni mwendo wa kuendesha mshahara ukitoka ila sasa yakute yanajadili maisha ni vichekesho mara nataka kuanzisha mradi wa kuku[emoji16][emoji16] mradi wenyewe ni mpaka akope konyo kweli .

Hapo bado sijazungumzia kuzaa yanazaa sungura wakasome ni mwendo wa kila mtoto anakuja na baraka zake

Yaani kikubwa yanapokea hizo posho mwisho wa mwezi unakuta katicha miaka 26 watoto wanne na yule wa miaka 46 naye ana mimba

Alafu afterall walimu wengi wametoka poor families so wakibahatika kuajiliwa hujihisi wamemaliza kila kitu hapo ndiyo uanza kufosi jamii za walikotoka na ndugu zao wawaabudu .

Ualimu ni laana kataa ualimu kataa ualimu .

Mimi hawa watu sijawahi kuwaelewa na sitokuja kuwaelewa mpaka wakiwa na akili

Povu ruksa.
Hongera kwa kufundishwa na mwenye laana ,sasa kwanini ulikubali kufundishwa na watu sampli hii? Si ungekataaa uakaenda kusoma huko nje kwa walimu wasiokuwa na laana?
 
Ila kama wamewalipa ivyo wamewadhulumu, kikawaida inatakiwa warudishiwe nauli+plus half per diem ya safarini apo ni kuwakilisha tiket za safari, then walipwe full per diem kutokana na walipo kama ni jiji(150,000) manispaa (130,000) n.k kulingana na siku walizokaa tofauti na apo ni uonevu mkubwa, mbona wengine tunalipwa tuu bila tatzo lolote?
Kibaya zaidi hii kitu ina Bajeti na allowance ni 1.5k ila mfumo wa malipo ndo unachezeaha kila kitu.
 
Shule binafsi mazingira ya kazi yamerahihishwa na ndio maana ni rahisi kumuondoa mwalimu kazini,sasa Shule ya serikali mwalimu darasani wanafunzi 200,vitabu vitabu 20,huku anadai likizo,promotion huku wamedhulumiwa fedha ya kumsimamia hata ukisema umfukuze hata hamu yenyewe unatoa wapi?
Mbali na hayo,kwa shule za primary ni vituko.mwalimu analazimishwa kufundisha masomo yote,sa kwa hali hi utaanzaje kumwambia amefelisha?
 
Mwalimu tulia tu niache kwanza sitaki kuzungumza na wewe.

Alafu uniulize kwanza kuwa nimefundishwa na nyie au hapana

Sitakujibu tena ndugu mwalimu Abdul Mganyizi
Sitaki unijibu kwa kuwa akili huna,mm hata nikiacha kazi hii au nikapata fedha za kutosha bado sitaweza kuwa sahau walimu wangu ambao wamenifanya leo naandika,natoa hoja na mambo mengne
 
Sitaki unijibu kwa kuwa akili huna,mm hata nikiacha kazi hii au nikapata fedha za kutosha bado sitaweza kuwa sahau walimu wangu ambao wamenifanya leo naandika,natoa hoja na mambo mengne
Sawa sawa mwalimu Abdul Mganyizi
Dah nimecheka kama mazuri eti mwalimu Abdul Mganyizi anasema akipata pesa za kutosha [emoji16][emoji16] duh utazitoa wapi ndugu mwalimu ?

Uje nikupe hizo hela za kutosha maana utanifaa sana bado niko kwenu huku fanya uje utanikuta hapa kashai guest ndugu mwalimu Abdul Mganyizi
 
Walipwe na Nani Mavi Yao, Kuna siku ticha mmoja aliniambia walienda kusimamia mitihani ya necta darasa la nne siku mitihani inaishia wanapewa karatasi ya kusaini kiwango cha fedha kuangalia kiwango kilichowekwa kinasoma elfu sitini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anaambiwa Kwa kufokewa saini hapaaaaa
Ulitaka walipwe ngapi? Mitihan yenyewe ya siku mbili na unatoka within kata!!!...all In all maslahi Bado madogo
 
Una
Ulitaka walipwe ngapi? Mitihan yenyewe ya siku mbili na unatoka within kata!!!...all In all maslahi Bado madogo
Unajua kanuni ya mtumishi akitoka nje ya kituo chake cha KAZI waraka unasemaje kuhusu posho ama unajibu Tu kitu usichojua
 
Kaka Acha ushamba mtu umetoka kgoma to moro mwezi mzima unapewa 15 per day unaona kubwa? Unalala wap? Unakula nn? Unatumia usafir gan? Kama ingekua unapewa iyo na Upo kituon kwako sawa
Wale wanapewa kila kitu kuanzia Malazi,chakula chai etc. Pia wanalipwa nauli na kama unatoka mbalii perdiem lazma.. ikiwa ninsafr Zaid ya masaa nane
 
Back
Top Bottom