Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,133
- Thread starter
- #81
Hhhahaha mwalimu ni Kopo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulipwe na nani zaidi ya kupewa nauli na hiyo posho jumla ambayo haipo kwenye muongozo wa utumishi anapotoka nje ya kituo cha kazi,nakubaliana na wale wanaosema mwalimu ni manamba aliyepewa mkataba