Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Kaka Acha ushamba mtu umetoka kgoma to moro mwezi mzima unapewa 15 per day unaona kubwa? Unalala wap? Unakula nn? Unatumia usafir gan? Kama ingekua unapewa iyo na Upo kituon kwako sawa
Nadhani chakula na makazi watakuwa walikuwa wanapewa ndio wakakatwa kupata Pesa waliyolipwa na huenda sababu Ni kudhibiti utoro na kuchelewa kazini
 
Pole sana ticha... Shukuru kwa kidogo unachokipata... Na vile ipo stock kubwa sana ya maticha huku striti... Mmmmh... Ndo kabisa
Si unajua production ikiwa kubwa sana kuliko demand price ina fall?!.
Mkuu mbona wanajeshi ni wengi ila wana posho, MIMI sio mwalimu
 
Kwa maana ya salaries ukilinganisha na wafanyakazi wa Serikali kuu.

Ila sio walimu wote,Hawa wa diploma na cheti mbona Pesa Yao Ni ndogo Sana?
Wote tu Hawana pesa ukiskia mwalimu popote pale wew hata kumtukana mtukane tu Hana pakukupeleka iyo pesa ya kumlipa wakili mahakamani atainyea Wapi
 
Na ndio uone jinsi hii nchi inakwenda yaani yawezekana miaka yote Marais hawajaliona hili,Kada nyingine aaah!mtu atalipwa Kwa mujibu waraka WA posho Ila sio mwalimu wannchi hii
Hhhahaha inakera
 
Una

Unajua kanuni ya mtumishi akitoka nje ya kituo chake cha KAZI waraka unasemaje kuhusu posho ama unajibu Tu kitu usichojua
Achana nalo hili bumunda linatoka dodoma, iko hivi kazi hawajafanya siku 2, wamefanya takribani mwezi mzima wakitoka hapo kila mtu ananuka makamasi full vikohozi kutokana na vumbi la mitihani afu wanapewa pesa ya barmaid
 
Wale wanapewa kila kitu kuanzia Malazi,chakula chai etc. Pia wanalipwa nauli na kama unatoka mbalii perdiem lazma.. ikiwa ninsafr Zaid ya masaa nane
Chai umeona kitu bora sana wewe mgogo vipi acha ushamba
 
Kazi tunayo sie walimu. Mungu nisaidie nipate kazi ingine japo maisha yangu si mabaya naishi vizuri na standard life kabisa.

Ila lakini mkae mkijua sisi ni msaada mkubwa sana kwa watoto wenu kwaajili ya future zao.Binafsi nimechangia mafanikio ya watoto ambao sasa wapo Muhimbili,UDSM,UDOM n.k na wananishukuru hata wakati mwingine hulia machozi ya furaha wakikumbuka vile nimewafundisha na kuwapa miongozo muhiimu katika masomo na hata kimaisha.

Endeleeni kututukana,na hii ni kutokana na serikali kutoweka kipaombele ktk maslahi ya walimu bali wanajali bunduki.Na wasijue sisi walimu ndiyo tunaweza kuwa bunduki mbaya kabisa tukisimama mbele ya ubao na chaki zetu,yani tukawaaminisha kitu vijana na kuwajaza mambo ambayo baadae miaka kadhaa ikaleta impact mbaya kwa utawala.

Poleni walimu wenzangu popote pale mlipo.
Ni mimi mwalimu ninayesaka kazi nyingine mbali na ualimu huu unaobezwa,dhalaulika na kusimangwa na kila mtu.

Jumatatu naanza na test kwa watoto wangu wa form 3 ili kuwashtua ubongo baada ya mapumziko yao.

Mungu tubariki walimu.

Mama Samia shkamoo mama,naomba hata kijikazi hata cha u-DAS mama,Mungu atakubariki pia.
Acha kulialia haisaidii zaidi unaanika utahila wako tu chamsingi daini haki zenu nanyie mpate posho
 
kwanini walimu wanapenda kulia lia? yani unaamua mwenye kusomea ualimu ili uje uifanye hio kazi baada ya hapo huishi kulia lia kutilisha huruma kwa maana unahitaji special treatment sio, Pumbav kabisa hawa wapuuzi.
Ni wapumbavu
 
Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha Mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani Shinyanga ndio alikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa

Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi fulani Kwa siku

Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndio wanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku

Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndio mshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi

Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kazi Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo View attachment 2471613
Poleni sana walimu wetu msichoke kupaza sauti serikali itawasikia na kuwaona kwa jicho la huruma.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom