Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Ni utumwa, kada ya ualimu imekuwa kada ya wamachinga, kila mwalimu uyu anakuja na Juice kuuza ofisini, uyu anakuja na Maandazi kuuza mda wa Break, uyu anakuja na Uji wa kuuza ofisini,

Kazi amabzo walitakiwa wazifanye watu ambao hawajasoma na hawana ajira Zinagomaniwa na waliojiriwa sasa kuna faida gan ya kuajiriwa[emoji706][emoji706][emoji706]

Je? Uyu mwalimu atakuwa na concentration gan ya Kufundisha kama anawaza Maandazi yake aloleta hayajaisha[emoji706][emoji706]
Umenikumbusha madam mmoja alikuwa anauza ubuyu na visheti enzi hizo 😅😅😅
 
Idadi ya vyombo vya ulinzi nchi ni zaidi ya laki nne lakini walimu hawazidi laki mbili, utafananishaje Kwa hilo, by the way walimu nao ni watumishi msiwatese kisa valueless kwamba wakikataa utaajiri wengine
wewe nawe kama hujui uliza?walimu ndio kada yenye watumishi wengi kuliko kada yoyote,wapo 300000,majeshi ya ulinzi hawazid 50elfu
 
Walimu walikuwa wanalipwa vizuri kwenye Izo kazi na ilifika hatua mpaka wanarogana kwenda, ila Simba wa Yuda ndio akaharibu mifumo yote..
Ashukuriwe Mungu..

Vipi vishikwambi mmepewa??
 
Iko hivi,kabla ya kuanza kusahihisha mitihani hua wanaambiwa mwaka huu mtalipwa sh kadhaaa kwa kila karatasi,kwa mfano chukulia kila karatasi sh 800 na wasahihishaji 750 na jumla ya karatasi za SoMo Fulani 450,000 zidisha gawanya utapata kila mwalimu ataondoka na shh ngapi.
Kabla ya jpm ulikua wakigika kituo Cha usahihishaji wanapata allowance ya laki moja,wakirudi ya njiani laki moja ,na nauli wakirwjeshewa jumlisha hela ya kazi walikua wanatoka hata na milioni na laki mbili,lakini allowance zote zimeondolewa na posho za safari zimeondolewa na jpm imebaki hela ya kazi na nauli tu.
Kwa mujibu wa jamaa yangu anafundisha same secondari,yeye Anamika 23 kila mwaka lazima aende.
 
Ivi wakigoma kutokusahihisha mitihani kwani nini kitatokea
 
Confidential issues are to be strictly kept that way..

Unataka huyo mwalimu akueleze ukweli ili umkope!?
 
Unataka kufahamy mambo yasiyokuhusu dogo .

Tulia .
Ahse tunaishi Kwa kutegemeana ndo rule of Nature "
Pope Francis said, "Rivers do not drink their own water; trees do not eat their own fruit; the sun does not shine on itself and flowers do not spread their fragrance for themselves. Living for others is a rule of Nature"
 
Back
Top Bottom