DOKEZO Hali ya Uendeshaji na Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA

DOKEZO Hali ya Uendeshaji na Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Salaam,

Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA.

1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya kinachohitajika.

Majibu ya Haraka yanaweza dhaniwa ni changamoto ya fedha serikalini,ila naomba jibu hili lisichukuliwe kwa wepesi kwani binafsi naona kama kuna maamuzi yanafanyika hayana matokeo chanya kuhusu usimamizi wa rasilimali zilizopo pamoja na uchache wake.

2. Pili viongozi wengi katika ngazi mbali mbali sio wenye uelewa wa ufundi (sio watu waliosomea mambo ya ufundi).

Binafsi naona ni kansa inayomaliza mamlaka.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Siku hizi wanaitwa NACTIVATE,

Btw mamlaka inafundisha? Nijuavyo wao ni wasinamizi wa taasisi za mafunzo zilizopo chini yao! Labda ulalamikie taasisi mahsusi iliyo chini ya 'VETA' (NACTIVATE).
 
Back
Top Bottom