Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Mkuu hata hawa wachezaji si wabaya mi nadhani bado hawajalewana vizuri uwanjani na utoto mwingiKuwauza ilikuwa haiepukiki,tatizo ni kwanini hawakuleta replacement za maana?
Bora wewe una hoja.
Mkuu hata hawa wachezaji si wabaya mi nadhani bado hawajalewana vizuri uwanjani na utoto mwingiKuwauza ilikuwa haiepukiki,tatizo ni kwanini hawakuleta replacement za maana?
Bora wewe una hoja.
Makolo muli bwanji baba
🤣🤣Mwijaku aliahidi kutembea uchi wakifungwa
Mimi nililala saa 12 ndio naamka aisee. Ushabiki mapenzi ya mpira ufungwa aisee,simba imetufanyia mbaya sanaAisee, leo nimelala mapema
Mwamedi bhana....
Benchi la ufundi lote ni wewe na demu wako ndo mmehusika
Wachezaji wote, ni wewe na demu wako ndo mmehusika....
Mmeenda Morroco, hamkushinda hata mechi moja, ikiwa hata ile mliyocheza na timu isiyo ligi kuu
Mmerudi Bongo, mkalaa kimoja na Mazembe, mkatiwa kingine na Dar es salaam Young Africans... kote huko ulikuwepo!!!
Ligi kuu mkaanza na sare mkasingizia eti mnakamiwa kwavile timu zinaadiwa pesa...
In short, No Konde and Chama, No Makolo!!!
On Top of That, Makolo sio timu kubwa fAfrika kama mnavyowadanganya mashabiki wenu ambao Rage aliwahi kusema kwamba ni Mbumbumbu!!
Yaani kufika 1/4 mara mbili tu, ndo mshajiona Zamalek fulani hivi...
Huko viti maalum nako mnatokaSasa hivi jwenang Galaxy NI wazuri..
Maisha bila unafiki hayaendi.
Tukutane SHIRIKISHO.utopolo tukutane mikoani
mama yako ndo zaidiFala babaako.
mama yako ndo zaidi
Kagere kafanyaje mkuu?Kocha asepe..... Mbwa tu.. Likocha lipolipo tuuu....
Michezaji misenge senge tupa kule... Wawa, Kagere wawe wa kwanza kutupiwa mabegi..
ndugu!! mimi si mtoto wa kikopo kama unavoandika kwenye keybody yako. hata hivyo it's ok ukinitukana sio mbaya ni kawaida kwenye platform yetu hii ya jamii forums kutukana pale unapokuwa umepokea message tofauti na ulivotegemea..ila usikimbilie kutukana wazazi bro... hawapo kwenye hii platform.. tutakuwa hatuwatendei haki.. usipaniki uwe mvumilivu mkuu!!Tapeli huyu!!! Kwani ile bilioni 20 inasemaje. Kauza wachezaji wazuri waliofikisha Simba mbali halafu anajifanya hajui kinachoendelea. PUMBAVU!!!
ndugu!! mimi si mtoto wa kikopo kama unavoandika kwenye keybody yako. hata hivyo it's ok ukinitukana sio mbaya ni kawaida kwenye platform yetu hii ya jamii forums kutukana pale unapokuwa umepokea message tofauti na ulivotegemea..ila usikimbilie kutukana wazazi bro... hawapo kwenye hii platform.. tutakuwa hatuwatendei haki.. usipaniki uwe mvumilivu mkuu!!
Aisee umuache Kagere alafu ubaki na Mugalu ambaye kwenye nafasi kumi afungi hata moja ..sasa hiyo itakuwa akili au matope?Watu kama Wawa na kagere niliamini tutawaacha msimu huu kwa sababu wamechoka ila ndio kwanza wanaaminiwa