Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

Tapeli huyu!!! Kwani ile bilioni 20 inasemaje. Kauza wachezaji wazuri waliofikisha Simba mbali halafu anajifanya hajui kinachoendelea. PUMBAVU!!!
Ningemtukana lakini alivyoumbwa na mimi ninamaumbile kama yake
 
Mwamedi bhana....

Benchi la ufundi lote ni wewe na demu wako ndo mmehusika

Wachezaji wote, ni wewe na demu wako ndo mmehusika....

Mmeenda Morroco, hamkushinda hata mechi moja, ikiwa hata ile mliyocheza na timu isiyo ligi kuu

Mmerudi Bongo, mkalaa kimoja na Mazembe, mkatiwa kingine na Dar es salaam Young Africans... kote huko ulikuwepo!!!

Ligi kuu mkaanza na sare mkasingizia eti mnakamiwa kwavile timu zinaahidiwa pesa...

In short, No Konde and Chama, No Makolo!!!

On Top of That, Makolo sio timu kubwa Afrika kama mnavyowadanganya mashabiki wenu ambao Rage aliwahi kusema ni Mbumbumbu!!

Yaani kufika 1/4 mara mbili tu, ndo mshajiona Zamalek fulani hivi...
 
Mwamedi bhana....

Benchi la ufundi lote ni wewe na demu wako ndo mmehusika

Wachezaji wote, ni wewe na demu wako ndo mmehusika....

Mmeenda Morroco, hamkushinda hata mechi moja, ikiwa hata ile mliyocheza na timu isiyo ligi kuu

Mmerudi Bongo, mkalaa kimoja na Mazembe, mkatiwa kingine na Dar es salaam Young Africans... kote huko ulikuwepo!!!

Ligi kuu mkaanza na sare mkasingizia eti mnakamiwa kwavile timu zinaadiwa pesa...

In short, No Konde and Chama, No Makolo!!!

On Top of That, Makolo sio timu kubwa fAfrika kama mnavyowadanganya mashabiki wenu ambao Rage aliwahi kusema kwamba ni Mbumbumbu!!

Yaani kufika 1/4 mara mbili tu, ndo mshajiona Zamalek fulani hivi...
Huu ni mda wa kwenda shirikisho sasa hakuna cha ajab ni matokeo ya ya mpira
 
Mo Dewji ameandika katika ukurasa wake wa twitter kuwa hana nguvu ya kufanya maamuzi yoyote kwa kuwa ameshajiuzulu kuwa mwenyekiti wa bodi ya Simba SC lakini amemshauri mwenyekiti wa sasa wa bodi hiyo achukue hatua kali kwa wale wote wanaohusika na kusababisha klabu ya Simba kupoteza mchezo huo dhidi ya Jwaneng Galaxy F.C.

Huyu mhindi aache uhuni, alifurahia kupokea pesa za kuuza wachezaji wazuri waliobeba timu akidhani mpira ni sawa na biashara ya ukwaju, kama ni kuwajibika anapaswa aanze yeye na Barbara wake.
 
MO yupo sahihi sana. Inaonekana kunza uzembe mwingi sana. Timu ilivyocheza mechi ya kwanza ugenini ilikuwa "serious" kiasi wakifunga goli walikuwa wanaitana pamoja wanakumbushana majukumu na kukaza. Sasa leo timu imecheza kifadha sana kama inapambana na Ihefu bana. Halafu wachezaji hawakuonesha "spirit" ya upambanaji tokea mpira unaanza. Sijui ni nani aliyewaaminisha kuwa wameshaingia makundi kabla hata mpira haujaisha.

Na benchi la ufundi nalo linastahili lawama zake za kutosha. Kuna wachezaji wanajulikana kabisa kuwa wao akili zao ni kushambulia tu na si kushambulia na kukaba kwa wakati mmoja. Lakini cha ajabu benchi la ufundi kila siku linafanya kosa hilo hilo la kiufundi la kuwaweka uwanjani kwa wakati mmoja wachezaji watatu au zaidi wenye kaliba hiyo matokeo timu inakosa "balance" wakati wa kushambuliwa.
 
Kocha asepe..... Mbwa tu.. Likocha lipolipo tuuu....

Michezaji misenge senge tupa kule... Wawa, Kagere wawe wa kwanza kutupiwa mabegi..
We ni mpuuz,kocha kosa lake Nini Sasa??? Michezaji inapata nafasi inashindwa kuzitumia
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kanji bana.

Mwijaku ashavua nguo au bado?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚this is nyauuuuu
 
Tukubaliane tu kama sio yako sio yako tu
Hakuna kitu kinachodumu milele.
Simba sifa ziliwaponza
Simba haina kiwango kama cha msimu uliopita
Simba msimu wa usajili ukifika msifanye upumbavu tena sajilini wachezaji na sio wachekeshaji.
Sijapenda fedhehea ya leo
 
Tapeli huyu!!! Kwani ile bilioni 20 inasemaje. Kauza wachezaji wazuri waliofikisha Simba mbali halafu anajifanya hajui kinachoendelea. PUMBAVU!!!
We gasho na dada poa kwa wakati mmoja uwe unaelewa basi;kwa 'mkwanja' ule waliowekewa Miquissone + Chama wangeachaje kuondoka?Simba inaweza kumlipa Miquissone ule mshahara anaokunja saa hizi?Ungekuwa wewe ni Miquissone umewekewa dau nono na mshahara ule kisha uongozi wa Simba ukagoma kukuuza na kuendelea kukulipa mshahara mdogo ungejisikiaje?

We boya ningekuelewa kama ungehoji "kwanini pesa zilizoingia baada ya kuwauza Chama + Miquissone hazikutumika kuleta wachezaji wa viwango vikubwa kuliko hawa akina Kanoute,Sakho,Banda,nk"? Hapo kila mtu angekuelewa,lakini siyo kuleta upuuzi wa kwanini Chama na Luis waliuzwa.GT mzima huwezi kufikiri?
 
Back
Top Bottom