Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

Sasa hivi jwenang Galaxy NI wazuri..
Maisha bila unafiki hayaendi.
Tukutane SHIRIKISHO.utopolo tukutane mikoani
 
Football ina matokeo magumu ila katika hili kuna watu wanapaswa kuwajibika
sioni wa kumtupia lawama ni mpira mchezo wa makosa
Tunatakiwa tusonge mbele.
Tujipange kwa shirikisho na ligi kuu.
Kuanza kupeana lawama huyu mara yule sidhani Kama ni sahihi
 
We ni mpuuz,kocha kosa lake Nini Sasa??? Michezaji inapata nafasi inashindwa kuzitumia
Kocha ana mbinu moja tu.Akiwa ugenini striker ni mmoja,akiwa home ni vivyo hivyo,anabadilika too late katika kuweka mfumo wa double striker au triple stricker.

Akiwa kama kocha,ni jukumu lake sana la kumfanya Morrison achukue nafasi ya Chama kwa kuwa Morrison hilo analiweza na angekuwa zaidi ya Chama coz morison anaweza ku-dribble,kupenya ngome nzito na ni mwepesi zaidi ya Chama.

Angem-train Morrison ungeweza kupata ladha zaidi ya Chama na kiasi kwa Miqson.

Bwalya huwa ana-flop sana.Leo yupo hivi kesho yupo vile,sio wa uhakika sana.

Katika match ya leo,Onyango alikuwa reserve kama sikosei; nini kilisababiaha asicheze hata namba nne na Wawa akabaki nje.

Kila siku anamsifia Nyoni yupo vizuri lakini ndo kwanza huwa anamuingiza dk za 80 hukooooo.
Dilunga anamzidi nini Dancan?

Mzamiru huwa anamakosa mengi,ila kwa match ilivyokuwa kwa maoni yangu ingemfaa zaidi kwa ile sub aliyofanya kwa Nyoni wa Bombambili.

Na kwa jinsi match ilivyokuwa,inaonesha makosa ni yale yale,mabadiliko hakuna.Tumeanza kwa speed ya kawaida sana na tumekuja kushtuka zaidi baada ya goli la tatu.Kwenye training,kocha huwa anaelekeza nini.

Kwenye usajili,je alipendekeza striker? Au aliona Mugalu na Boko watamsitiri hata kwenye kipindi kigumu kama cha leo. Je,Alipendekeza usajili wa namba 2 na 3 wenye uwezo zaidi ya hao waliopo.
Je,alifanyia kazi suala la rebounds za Kapombe kila anapopiga cross na cross zake zile za chinichini zisizo na uhakika wa kumfikia mlengwa japo kwenye V-pass yupo vizuri.

Ni hayo tu kwanza.
 
Screenshot_20211024-201333.jpg
 
Tapeli huyu!!! Kwani ile bilioni 20 inasemaje. Kauza wachezaji wazuri waliofikisha Simba mbali halafu anajifanya hajui kinachoendelea. PUMBAVU!!!
we ndo fala kupindukia.. tatizo mumezoea harakati. mpira sio sasahiv bro...
 
Kocha ana mbinu moja tu.Akiwa ugenini striker ni mmoja,akiwa home ni vivyo hivyo,anabadilika too late katika kuweka mfumo wa double striker au triple stricker.

Akiwa kama kocha,ni jukumu lake sana la kumfanya Morrison achukue nafasi ya Chama kwa kuwa Morrison hilo analiweza na angekuwa zaidi ya Chama coz morison anaweza ku-dribble,kupenya ngome nzito na ni mwepesi zaidi ya Chama.

Angem-train Morrison ungeweza kupata ladha zaidi ya Chama na kiasi kwa Miqson.

Bwalya huwa ana-flop sana.Leo yupo hivi kesho yupo vile,sio wa uhakika sana.

Katika match ya leo,Onyango alikuwa reserve kama sikosei; nini kilisababiaha asicheze hata namba nne na Wawa akabaki nje.

Kila siku anamsifia Nyoni yupo vizuri lakini ndo kwanza huwa anamuingiza dk za 80 hukooooo.
Dilunga anamzidi nini Dancan?

Mzamiru huwa anamakosa mengi,ila kwa match ilivyokuwa kwa maoni yangu ingemfaa zaidi kwa ile sub aliyofanya kwa Nyoni wa Bombambili.

Na kwa jinsi match ilivyokuwa,inaonesha makosa ni yale yale,mabadiliko hakuna.Tumeanza kwa speed ya kawaida sana na tumekuja kushtuka zaidi baada ya goli la tatu.Kwenye training,kocha huwa anaelekeza nini.

Kwenye usajili,je alipendekeza striker? Au aliona Mugalu na Boko watamsitiri hata kwenye kipindi kigumu kama cha leo. Je,Alipendekeza usajili wa namba 2 na 3 wenye uwezo zaidi ya hao waliopo.
Je,alifanyia kazi suala la rebounds za Kapombe kila anapopiga cross na cross zake zile za chinichini zisizo na uhakika wa kumfikia mlengwa japo kwenye V-pass yupo vizuri.

Ni hayo tu kwanza.
Aisee, leo nimelala mapema
 
Back
Top Bottom