Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

Moshi town hapajapanuka bado...small population hata miundominu ya jiji bado..napata doubt hata kwa Dodoma I think labda ni kwa kuwa ni makao makuu ya serikali..
Ndiyo maana nikakuambia ni mchakato.
Na nikasema, moja ya mchakato ni kumega maeneo ya halmashauri za Hai na Moshi Vijijini ili ziinhizwe manispaa.
Ili Moshi Manispaa iwe na KM square 160+
 
Jamani jamani achananeni na habari sijui mkoa gani tajiri upi maskini, cha kujiuliza wewe hapo binafsi una utajiri kiasi gani ? usibaki kushangilia wanaume wenzako kupendezesha mkoa wenu kumbe wewe unashindia uji na mihogo Pum''''vu.
 
Ndiyo maana nikakuambia ni mchakato.
Na nikasema, moja ya mchakato ni kumega maeneo ya halmashauri za Hai na Moshi Vijijini ili ziinhizwe manispaa.
Ili Moshi Manispaa iwe na KM square 160+
Ikishapanuka inakuwa imefikia vigezo au mambo bado...
 
Jamani jamani achananeni na habari sijui mkoa gani tajiri upi maskini, cha kujiuliza wewe hapo binafsi una utajiri kiasi gani ? usibaki kushangilia wanaume wenzako kupendezesha mkoa wenu kumbe wewe unashindia uji na mihogo Pum''''vu.

Cha ajabu masikini hudhani na wengine hawana kama yeye
 
hili la kilimanjaro kuwa na kiwango kidogo cha umasikini sidhani kama linamfurahisha jiwe na kikundi chake kidogo cha wasukuma kinachomsujudia.

kwa vyovyote vile, kiongozi aliyeongoza zoezi la kuandaa report hii ataitwa kutoa maelezo ya kina.
Nahisi anaweza kuitwa maana mkurugenzi wake anaitwa Albina Chuwa ambaye na yeye mchagga
 
Kama ni hivyo ruvuma ungekuwa juu sana. Ukienda hata kijijini huwezi ona nyumba ya tope. Zote za tofali. Sidhani kama hiki ni kigezo
Kigezo kimojawapo Cha kupima umaskini was eneo Ni nyumba na makazi.Nyumba zinaongea kila kitu.Ukiona Kijiji kizima nyumba za tembe tupu unajua hapo kiwango Cha umaskini Kiko juu
 
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Imetoa taarifa kama inavyoonekana

View attachment 1142323

View attachment 1143342

Na chini ni TAKWIMU RASMI ZA HALI YA UCHUMI TANZANIA BARA 2012-2018
View attachment 1142638

KWA UJUMLA:

Kwa mujibu wa takwimu mpya za mwaka wa kizio wa 2015, Pato halisi la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0 mwaka 2018 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 6.8 mwaka 2017.

Ukuaji huu ulichochewa zaidi na kuongezeka kwa uwekezaji hususan katika miundombinu kama vile ujenzi wa barabara, reli, na viwanja vya ndege; kutengemaa kwa upatikanaji wa nishati ya umeme; kuimarika kwa huduma za usafirishaji; na hali nzuri ya hewa kwa ajili ya kilimo.

Sekta zilizokuwa na viwango vikubwa vya ukuaji ni pamoja na:
Sanaa na Burudani iliyokua kwa asilimia 13.7;
Ujenzi (asilimia 12.9);
Uchukuzi na Uhifadhi mizigo (asilimia 11.8); na
Habari na Mawasiliano (asilimia 9.1).
Mikoa ifuatayo ina unafuu wa maisha kwa watu wake
Dar
Kilimanjaro
Njombe
Morogoro
Tanga
Mbeya
Songwe
Mara
Ina hali ya nafuu kimaisha,wapi Arusha,Mwanza? Hongera sana mkoa wa wachapakazi,Njombe tumeonyesha kwa vitendo tofauti yetu na wengine,tukutane 2025 tutakuwa juu ya Kilimanjaro tukichuana na Dar tuu maana kinachotukwamisha ni miundombinu michache ya barabara za kutuunganisha na Morogoro,Ruvuma na Mbeya via kitulo
 
Du! Mkoa wa rukwa iv upo Tanzania kwel ???
Serikali inauonea mkoa huu hasa kwenye mgawanyo wa rasilimali,imagine jiografia yake ni milima na mabonde na uko pembezoni mwa nchi lakini una halmashauri 4 na wilaya 3 tu ukiwa wa mwisho kitaifa,sio fair maana wananchi hawahudumiwi ipasavyo
Hili jambo serikali iliangalie,niko huku kuna mabonde mazuri ya kilimo lakini miundombinu ni finyu na watu wametawanyika mkoa mzima ila hawahudumiwi ipasavyo,serikali ijenge barabara za bonde la rukwa na mwambao wa ziwa Tangangika sanjari na kuanzisha masoko ya mazao ya nafaka na samaki pia huduma za kijamii ziongezwe,kiukweli mzunguko wa pesa ni mdogo sana na hata ukuaji wa miji ni very slow kwa vijijini ndio kabisaa na mazao makuu ya biashara na chakula ni nafaka sasa tuko mbali na soko so bei inakuwa chini unless tupate soko la DRC
 
Imekuwaje kilimanjaro wamewazidi njombe??? Bado siamini macho yangu?? Kwa kweli nimetembea mikoa mingi Tanzania ila Mkoa wa Njombe unatakiwa uzidiwe na dar es salaam tu
Hope by 2025 tutapitwa na Dar tuu coz ni mkoa wa wachapa kazi,ngoja barabara ya kwenda Morogoro na ya ludewa to mbamba bay na makete Mbeya zikamilike hakuna wa kukushika nchi hii
 
Sababu za Kwa nini inakuwa hivyo zinatolewa
Halafu nyambafu wewe waziri wa mipango umesema katokea Rukwa!!!!!!!
Nshajua kumbe wewe ni yule bwenga uliyeishia la saba unajaribu kujifanya na wewe umeenda shule.
Hata watoto wa darasa la tano wakiulizwa kwenye mtihani waziri waipango anaitwa nani na katokea mkoa gani watajibu 80% watapata 100%
 
Tuweke zones,kila zone ijitegegemee kimapato na matumizi,itawastimulate watu wa sehemu husika ku explore resources na opportunities zilizopo kwenye zone husika
Sehemu zingine zitazidi kua maskini zaidi, though hii itasaidia pia kupandisha baadhi ya sehemu, kimsingi maendeleo makubwa yapo Dar
 
Back
Top Bottom