YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,050
Kingine watu wa kagera matajiri hawajengi vijijini kwao Kama watu wa Kilimanjaro .Kilimanjaro nyumba nyingi nzuri vijijini Ni za wachaga waliosambaa kila Kona ndani na nje ya nchi.Mhaya anapopata riziki ndio kwake hawajengi kwao vijijini1. Vita ya Kagera
2. Mv Bukoba
3. Virusi vya ukimwi
4. Kuanguka kwa Bei ya kahawa
5. Wakimbizi
6. Uhalifu uliokithiri haswa pori la biharamulo
7. Mnyauko wa migomba ambacho ni chakula kikuu
8. Tetemeko la ardhi
9. Vikwazo vya kielimu na kimiundombinu
And the list is endless
Nitajie mkoa hata mmoja Tanzania ambao umepitia yote haya na bado wakazi wake wakaendelea na maisha yao pasipo utegemezi kwa serikali. Kagera is a home of survivals