Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,910
- 21,950
Ina maana hamjatimiza vigezo kumbe...mbona mnajipa sifa za ki-jijijiji..
Sifa tumetimiza ila mchakato haujafikia mwisho.
Siyo kwamba mtu ana amka na kusema manispaa iwe jiji.
Mchakato lazima utimie.
Na kutokutimia mchakato haina maana kwamba Manispaa haina na au haijatimiza sifa.
Mfano, kuna mchakato wa kunyakuwa maeneo ya Halmashauri za Hai na Moshi Vijijini ili ziingizwe kwenye manispaa.