Wap wameandika wahaya wanaongoza Kwa umaskini?Ndugu zangu wahaya naona mmeongoza kwa umaskini
Kagera imeongoza kwa umaskini ulikubuhuWap wameandika wahaya wanaongoza Kwa umaskini?
Hebu rudia post ya kwanza
Vijiji vyote vya Kilimanjaro ni Sawa na wilaya ya misenyi Tu .Watu wa kagera mkome kuifananisha kagera na kilimanjaro. Kilimanjaro sio hadhi yenu, nyie mjilinganishe na geita, katavi na rukwa huko.
Na iwe hivyoKagera imeongoza kwa umaskini ulikubuhu
Usiniletee ngonjera hapa nyie level zenu ni rukwa, katavi, simiyu kilimanjaro sio hadhi yenu. Nenda kapambane na umaskini wa mkoa wenuVijiji vyote vya Kilimanjaro ni Sawa na wilaya ya misenyi Tu .
Na bado mkoa unawazidi Kwa idadi ya watu na pia population density.
Bado elimu wanawapiga mbali?
Hata kwenye IQ pia wamewazidi mbali.
Kilimanjaro bado Sana Kwa Bukoba
Fuatilia uzi wa Bukoba Vs moshi.Usiniletee ngonjera hapa nyie level zenu ni rukwa, katavi, simiyu kilimanjaro sio hadhi yenu. Nenda kapambane na umaskini wa mkoa wenu
Hilo neno moshi hapo litoe, weka katavi mkuuFuatilia uzi wa Bukoba Vs moshi.
Mlivyogalagazwa.
Zunguka moshi nzima nitafutie kijiji kama hiki huko BukobaView attachment 1143101
Vijiji vyote vya Kilimanjaro ni Sawa na wilaya ya misenyi Tu .
Na bado mkoa unawazidi Kwa idadi ya watu na pia population density.
Bado elimu wanawapiga mbali?
Hata kwenye IQ pia wamewazidi mbali.
Kilimanjaro bado Sana Kwa Bukoba
Fuatilia uzi wa Bukoba Vs moshi.
Mlivyogalagazwa.
Zunguka moshi nzima nitafutie kijiji kama hiki huko BukobaView attachment 1143101
Hilo neno moshi hapo litoe, weka katavi mkuu
Mhhh we bwenga kwani hizo takwimu huzioni?wanachouliza watu humu wahaya wana majivuno sana lakini mbona kwenye data mnaonekana mkoa hauko vizuri kiuchumi????mkiwa mjini mnajishebedua kama vile ninyi mko class 1 kumbe kiuhalisia kalaghabaho tu.Wap wameandika wahaya wanaongoza Kwa umaskini?
Hebu rudia post ya kwanza
Hehehe yaani watu wanaoitetea Kagera wanabisha bila takwimu .
Takwimu zinaonyesha Kabisa Kagera ni mkoa maskini... haupo hata kati ya mikoa 10 yenye ukwasi zaidi ila bado watu wanatunisha meno humu
Rukwa, Geita, Kagera, Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Lindi, Tabora na Ruvuma ndiyo vitovu vya umasikini Tanzania. Na hiyo mikoa huwambii kitu kwa jinsi wanavyoipenda CCMDu! Mkoa wa rukwa iv upo Tanzania kwel ???
Fuatilia uzi wa Bukoba Vs moshi.
Mlivyogalagazwa.
Zunguka moshi nzima nitafutie kijiji kama hiki huko BukobaView attachment 1143101
Fuatilia uzi wa Bukoba Vs moshi.
Mlivyogalagazwa.
Zunguka moshi nzima nitafutie kijiji kama hiki huko BukobaView attachment 1143101
Syo anataka iwe bali ndo uhalisia hutaki ishitaki NBS.Na iwe hivyo
Umefurahi sasa.
Maana ndo unataka iwe
HujanijibuHilo neno moshi hapo litoe, weka katavi mkuu
Syo anataka iwe bali ndo uhalisia hutaki ishitaki NBS.
Hako kakichaka utakalinganisha na kilimanjaro resort? Dumn shit. Hako panaitwaje bwenga
Nimekwambia hatupo kwenye saloon ya kike tunashona mawigiHuwezi linganisha kagera na kilimanjaro kwa makazi bora hata kama ni mlemavu wa akili, hako kapicha ulikoweka kama kweli ni bukoba ni kasehemu kamoja kadogo kukalinganisha na kilimanjaro.
Acheni ubwenga mpige jaramba muwakute wa moshi.
Hata hivyo unachoshindana humu hizi data hawajazileta watu wa kilimanjaro bali NBS. Zina ukweli mtupu