Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

Hii ripoti inauhalisia sana ukilinganisha ripoti inayotumia kipimo cha GDP.
Kwa kutumia kipimo cha GDP, Mikoa kama Singida na mingine amabayo haina viwanda vingi, madini na utalii ilikuwa inaonekana iko nyuma sana kimaendeleo na kudharaulika lakini mkoa kama Singida unaonekana uko vizuri ukilinganisha na mikoa mingine maarufu.
 
Takwimu mbona kama vile zimekaa kimkakati...!! Kilimanjaro hakuna umasikini kwa hiyo hakuna haha ya kufikiriwa katika miradi ya kimaendeleo (developed region). Kwa upande mungine Mkoa wa Lindi (kwa WM), Kanda ya Ziwa (kwa Rais) na Magharibi (kwa waziri wa fedha) kuna umasikini mno na miradi mingi ipelekwe huko.
Mbona unafichua siri wewe? Maana washangiliaji huwa hawatafakari hayo.
 
Back
Top Bottom