instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,602
- 19,788
Kwanza Kagera haipitwi na singida.Kwahiyo kwako unaona ni haki kwa mkoa kama kagera kuwa miongoni mwa mikoa maskini zaidi licha ya kuwa na kila kitu kuanzia mvua za kutosha, kushare mipaka na nchi mbali mbali kama Uganda na Rwanda, mto mkubwa , ziwa victoria n.k...
Mnapitwa na singida yenye mabwawa tuu isiyopata mvua za kutosha wala upendeleo wowote wa asili ?!
Pili sababu za mkoa wa Kagera kurudi nyuma umeshatajiwa . utaonekana mbumbumbu ukija kipinga sababu zilizotolewa maana watz wote wanajua.
Eti Kagera haikuathirika na vita ya Kagera .hiv unajua watu wangap walikufa?
Maeneo mangap yalilipuliwa?
Unaongea kama mwenye akili za kitoto