Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

Kigoma
Rukwa
Kagera
Geita

WAMETISHA.
Utakuwa umesoma vibaya takwimu


Mikoa inayotisha ni

Rukwa
Lindi
Geita
Simiyu
Kigoma
Singida
Mwanza
Tabora
shinyanga



Kagera IPO ya kumi na kitu huko.
Husitaje kiushabiki mkuu
 
Si ndo akili ilikoishia hamna zaidi ya hilo ukimwi na ninyi kila kitu na ninyi.
Bora hayo yote kuliko ushoga uliotamalaki huko kwenu uchagani.


Asilimia kubwa ya mashoga ni wachaga.

Acha tuwe na tabia zote chafu kuliko ushoga uliotamalaki huko kasikazini
 
Utakuwa umesoma vibaya takwimu


Mikoa inayotisha ni

Rukwa
Lindi
Geita
Simiyu
Kigoma
Singida
Mwanza
Tabora
shinyanga



Kagera IPO ya kumi na kitu huko.
Husitaje kiushabiki mkuu
Bukoba na shinyanga zimefungani zote ni za nafasi ta 9 acha ujinga
 
Bora hayo yote kuliko ushoga uliotamalaki huko kwenu uchagani.


Asilimia kubwa ya mashoga ni wachaga.

Acha tuwe na tabia zote chafu kuliko ushoga uliotamalaki huko kasikazini

Hahaaa mchaga nani we bwenga,
Mashonga na malaya asili yao ni bukoba au hujui.
 
Hahaaa mchaga nani we bwenga,
Mashonga na malaya asili yao ni bukoba au hujui.
Nikikwambia unitajie walau mtu mmoja mwenye tabia hizo huwezi kutaja.


Ila wachaga sasa kuna mashoga,washirikina,wabinafsi,wanawafanya wenzao vichaa, wanawake kuua waume zao, wanawake kuwa na shape za ajabu ajabu,wivu na roho mbaya vyote vipo uchagani.

Bila Shaka na wew utakuwa kichaa
tapatalk_1561802494585.jpeg
 
1. Vita ya Kagera
2. Mv Bukoba
3. Virusi vya ukimwi
4. Kuanguka kwa Bei ya kahawa
5. Wakimbizi
6. Uhalifu uliokithiri haswa pori la biharamulo
7. Mnyauko wa migomba ambacho ni chakula kikuu
8. Tetemeko la ardhi
9. Vikwazo vya kielimu na kimiundombinu

And the list is endless

Nitajie mkoa hata mmoja Tanzania ambao umepitia yote haya na bado wakazi wake wakaendelea na maisha yao pasipo utegemezi kwa serikali. Kagera is a home of survivals
sasa mkome kabisa kujilinganisha na walio juu yenu hasa kama mnajielewa mlivyo na matatizo lukuki.
 
Njombe bado sana, nimeishi huko, watu Wa Njombe bado wapo nyuma sana kifikra, elimu, kimtazamo na pia hawana maji ya kutosha, vijijini nyumba nyingi Njombe zina funza bado, wanalisi wanawake, na kufuata mila na desturi za ajabu. Faida ya Njombe Ni Mkoa unafikika kwa urahisi kila pande kwa kuwa ni mdogo, hari ya hewa inawarahisishia kulima mazao ya biashara na idadi ndogo ya watu, ambayo ni rahisi kupanga mipango. Njombe itaipita Kilimanjaro Kiuchumi, ila haitakaa muda mrefu, maana Mikoa kama Morogoro, Mwanza siku ikichanganya itakua juu kwa fursa nyingi. Njombe na Kilimanjaro ni kama Qatar, Brunei, na Equatorial Guinea zinafaidika na udogo na uwepo wa fursa.
Pamoja na uchambuzi wako Mwanza hauwezi kuja fikia viwango vya Njombe coz hakuna fursa kama usemavyo wewe zaidi ya kujaa umaskini
Pili hizo nchi ulizozitaja zina hali ya juu kimaisha kuliko hata USA unless unambie kwenye GDP contribution ambayo so far mwanza ni second unfortunately biashara zinazochangia gdp zimewaweka watu wengi nje hawanufaiki nazo
Mwisho Njombe pamoja na kuwa na watu wachache lakini ina rasilimali nyingi na itakuwa juu mda wote plus ni mkoa wa wachapa kazi,mfano ni miti,kilimo cha mazao anuwai,maji ni uhakika ishu ni usambazaji tu,utalii,makaa ya mawe na chuma liganga/mchuchuma na pia vinu vya kufua umeme wa maji zaidi ya 3 vinajengwa njombe ili kusambaza kwingine(rejea hotuba ya bajeti wizara ya nishati)
Na kuhitimisha ni kwamba ndio kwanza mkoa wa njombe unajengwa miundombinu ya barabara kuunganisha na Morogoro(Ifakara),,Njombe-ludewa-mbamba bay,,Njombe-makete-mbeya
 
Nakusahihisha sioni njombe kuweza kuipita Kilimanjaro.
Itaipita sio tu kwa index za umaskini lakini pia kwa gdp,ni mkoa unakuja kasi na una rasilimali zote ndio kwaanza zinaanga kuwa taped Sasa ukichanganya na wakazi wachapakazi acha kabisa
For your information mkoa una miji mikubwa miwili ya Njombe na Makambako tofauti na Kilimanjaro yenye moshi tuu the rest ni midium sized towns
 
Jamani jamani achananeni na habari sijui mkoa gani tajiri upi maskini, cha kujiuliza wewe hapo binafsi una utajiri kiasi gani ? usibaki kushangilia wanaume wenzako kupendezesha mkoa wenu kumbe wewe unashindia uji na mihogo Pum''''vu.
Sio kilimanjaro... Hakuna njaa kule
 
Kagera inakuwa nyuma kutokana na masuala mabaya ya kihistoria:-
(i). 1978 - 1979 Vita vya Kagera na Uganda,
(ii). 1980's Ugonjwa wa Ukimwi,
(iii). 1990's - Kuzama kwa meli ya Mv Bukoba,
(iv). 2000's - ugonjwa wa zao la mgomba na kahawa (unyanjano na mnyauko fuzari),
(v). 1990's - uwepo wa vita ktk nchi za Rwanda, Burundi, na DRC kulisababisha wingi wa wakimbizi
(vi). 2016 - TETEMEKO la ardhi

Tukubali hali hii na kutusukuma ktk kuweka mipango madhubuti ya kufikia kilele cha ukuaji wa uchumi.
 
Back
Top Bottom