Hali bado tete jijini Mbeya

Kwa jinsi mbeya walivyo, poleni wasiue mtu vinginevyo kuna uwezekanao wa kulipa visasi na hiyo vita haitaisha.
 
naona unashangilia jeshi la kanisa kulinda serikali ya ki islam kama ulivyo shutumu kwenye moja ya post zako jana. FF u kiumbe cha ajabu kwelikweli. Keepon my be you hv a logic !!?
 

nakuheshimu sana, lakini nafikiri tatizo lako unafikiri sekeseke la mbeya ni la kisiasa na hasa kwamba chadema. kama unawaza hivyo unakosea kabisa. linahusu hawa walala wima wataishije - kuna kina mama kama wewe wana watoto shule wanawatafutia karo na mahitaji mengine kwa kufanya biashara ndogo ndogo. wewe bila huruma unawaambia wale mikong'oto!!!!. Tumeishiwa busara kweli - yaani tunataka kutojipambanua na watu wavivu wa kufikiri!!??
 
Sugu ndiyo kaingia muda huu hapa anashangiliwa vibaya na machinga na mabomu bado yanaendelea kupigwa,Mungu tusaidie watanzania tushinde vita hi dhalimu inayofanywa na serikali ya CCM Kudhariridhisha utu wa mwanadamu.
 
yaani!we acha tu...naapa mungu leo hii ningekua mbeya nadhani leo nilikua ni mari ya polisi kwan hapa nilipo ninajazba ile mbaya
 

hahah..CDM ni wajanja kuongea hapa jamvini,
Hawana madhara yoyote, police wachache tu wanawadhibiti.
CDM acheni siasa za vikundi, kama mnania kweli, amueni! Siyo kuleta vurugu zisizo na maana.
 

Eti umeongea na watu. Hiyo ni hearsay tuu. Kwa nini usiende kujionea mwenyewe? muda mfupi uliopita jeshi la Polisi limepiga bomu za machozi katika ZAHANATI YA IPINDA eneo la Mwanjelwa na manesi wamerahi. You bet na hawa manesi walikuwa wanaleta fujo ndani ya zahanati. Vipi kama humo zahanati kulikuwa na mama anajifungua? Wewe ni mwanamke kweli? Unaujua uchungu wa kupigwa bomu la machozi huku uko kitandanini unajifungua?
 

Ukafanye fujo hospitali ili likipigwa useme kuna wanawake? piga tu hata kama kuna nani mule, kwani wanaume hawana roho? hata ujidai kuwadharau wanawake? Tena ndio raha kweli na huyo mtoto akizaliwa namuita bomu la machozi or is it machizi?
 
Reactions: EMT

Wale mikong'oto tu, nani anawaambia wafanye biashara barabarani, kama hawana pa kufanyia biashara warudi vijijini wakalime. Msitetee ujinga.

Na hao sio wafanya biashara hizo zote ni mbinu za magwanda ili kuoekana nchini kuna fujo. Lakini dawa yao ni ndogo tu, kuna vichaa wamepelekwa huko, wakae chonjo.
 
yaani!we acha tu...naapa mungu leo hii ningekua mbeya nadhani leo nilikua ni mari ya polisi kwan hapa nilipo ninajazba ile mbaya

Kwani Serikali ipo Mbeya tu, si anza hapahapa. unanchekesha!
 
Mkuu wa Mkoa Abas Kandoro akiwa na waandishi wa habari muda mfupi uliopita wakijadili swala la Mgogoro na wamachinga


Bara bara zimefungwa maeneo ya Mama John muda huu




Waandishi wa habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa kutokana na Sakata Hili la wamachinga




Wanachi wa Mbeya wakiwa wanashangilia tuu wakati waandishi wanaendelea na kikao na Mkuu wa mkoa

 
Ukafanye fujo hospitali ili likipigwa useme kuna wanawake? piga tu hata kama kuna nani mule, kwani wanaume hawana roho? hata ujidai kuwadharau wanawake? Tena ndio raha kweli na huyo mtoto akizaliwa namuita bomu la machozi or is it machizi?

Hivi ulishapona ule ugonjwa wako wa kupenda mabwana wa wenzio?
 
@Ruhazwe JR
Tuijenge JF kwa kukubali kutofautaina na mtu kwa hoja bila vioja na lugha kali zisizo na staha . Vile vile Tujaribu kudhibiti hasira na maandishi yanayoweza kusababisha ban.
 

Mkuu, mimi ni mchumi. Lakini nashindwa kumuelewa mchumi mwenzangu Jk kuwa haoni fursa ya Wamachinga kuwa transformed from informal to formal sector. Ambayo itaongeza pato la Taifa thru kodi vilevile kuinua life std za hao Machinga. Thats why hajui ni kwa nini Watanzania ni maskini wakati anaalika mashoga zake ikulu na kula bata huku vibaraka wao Tbc wakituonyesha "live" jinsi wanavyojua kula kodi. Bora Mkapa mwanahabari lakini nchì haikuwa mfu hivi.
 
Hawa chadema wanahatarisha amani yetu.
 
Hawa jamaa hawatumii akili kweli, serikali ikiruhusu wananchi wafanye vile wanavyotaka si itakuwa vurugu. Wamachinga wanaamua kujipangia maeneo ya kufanya biashara hata kama sio rasmi.

Huu ni uhuni ambao serikali haiwezi kuuvumilia.
 
Taarifa nilizozipata muda mfupi uliopita zinasema kwamba majeruhi wanazidi kumiminika katika hospitali ya rufaa mbeya na madatari wote ambao walikuwa hawapo zamu hapo hospitalini wameitwa kwenda kusaidia kutoa huduma kwa majeruhi hao ambao asilimia kubwa wameumizwa vibaya na wanahitaji kulazwa.

Pia wakati huo huo taarifa zinasema kwamba vijana ambao jeshi la polisi limewakamata na kuwaweka mahabusu wamekumbwa na dhahama la kukosa hewa wakiwa mahabusu. Wengi wamepelekwa hospitali wakiwa wamepoteza fahamu kutokana na kukosa hewa. Hakuna taarifa rasmi kama kuna mahabusu waliopoteza maisha kwa kukosa hewa kwani polisi hawatoi taarifa zozote.

Mkuu wa mkoa pia alikuwa na mkutano na waandishi wa habari. Sijapata bado nini kilijadiliwa katika mkutano huo. Ntatoa taarifa zaidi ambazo ntapata.
 
Hata wakikaa nao mezani hawatasuluisha,watawadanganya tu ili kuwatuliza.

Umeisahau ccm,kama wamzidiwa nguvu hata baada ya kutumia dola, basi gia ya kukaa mezani ni kuwatuliza tu ili wawadhibiti vizuri zaidi na kuwa contain mara baada ya kujipanga upya.
 
Bado, unaweza. Ni mkong'oto tu, hakuna huruma kwa waleta fujo wachache wanaotaka tuvunja amani ya hii nchi.
sidhani kama unamanisha ulicho ongea, na kama unamaanisha basi ni ule usemi wa adui wa adui yako ni mwenzako. Keepon FF soon you'll see bright new day shinning before you with working mfumo islam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…