Hali bado tete jijini Mbeya

Hali bado tete jijini Mbeya

Eti Sugu ni raisi!!. Hawapo serious kabisa.
 
Bahati mbaya Wikipedia haina article juu ya hili soko ungekuta tayari umeshakopi na kupaste hapa. 🙂 Halafu kumbe mafisadi ndio wachoma masoko eh?

Google. I Love Wikipedia.

Hali ilikuwa imetulia mapema kabisa na niliwajulisha humu, mkajidai ohhh,aahhh. mkiambiwa "FF the walking Wikipedia" mnakataa. Mkong'oto una mchezo?
 
Google. I Love Wikipedia.

Hali ilikuwa imetulia mapema kabisa na niliwajulisha humu, mkajidai ohhh,aahhh. mkiambiwa "FF the walking Wikipedia" mnakataa. Mkong'oto una mchezo?

nasikia harufu ya ushuuziööö!
 
Back
Top Bottom