naona unashangilia jeshi la kanisa kulinda serikali ya ki islam kama ulivyo shutumu kwenye moja ya post zako jana. FF u kiumbe cha ajabu kwelikweli. Keepon my be you hv a logic !!?Nimeongea na watu wa Mbeya sasa hivi, wananiambia hakuna lolote huko, wleta fujo wamedhibitiwa, FFU na polisi wanazunguka zunguka mitaani na magari yao na ukionekana unaashiria fujo unakula mkong'ong'oto na kutupiwa nyuma gari ukajieleza mbele ya safari.
Na vikosi vingine vinaelekea huko, haya tokeni ndani mbona mnajificha? si wajanja nyie?
Nimeongea na watu wa Mbeya sasa hivi, wananiambia hakuna lolote huko, wleta fujo wamedhibitiwa, FFU na polisi wanazunguka zunguka mitaani na magari yao na ukionekana unaashiria fujo unakula mkong'ong'oto na kutupiwa nyuma gari ukajieleza mbele ya safari.

Eti umeongea na watu. Hiyo ni hearsay tuu. Kwa nini usiende kujionea mwenyewe? muda mfupi uliopita jeshi la Polisi limepiga bomu za machozi katika ZAHANATI YA IPINDA eneo la Mwanjelwa na manesi wamerahi. I bet na hawa manesi walikuwa wanaleta fujo ndani ya zahanati. Vipi kama humo zahanati kulikuwa na mama anajifungua? Wewe ni mwanamke kweli? Unaujua uchungu wa kupigwa bomu la machozi huku uko kitandanini unajifungua? Au
nakuheshimu sana, lakini nafikiri tatizo lako unafikiri sekeseke la mbeya ni la kisiasa na hasa kwamba chadema. kama unawaza hivyo unakosea kabisa. linahusu hawa walala wima wataishije - kuna kina mama kama wewe wana watoto shule wanawatafutia karo na mahitaji mengine kwa kufanya biashara ndogo ndogo. wewe bila huruma unawaambia wale mikong'oto!!!!. Tumeishiwa busara kweli - yaani tunataka kutojipambanua na watu wavivu wa kufikiri!!??
yaani!we acha tu...naapa mungu leo hii ningekua mbeya nadhani leo nilikua ni mari ya polisi kwan hapa nilipo ninajazba ile mbaya
Ukafanye fujo hospitali ili likipigwa useme kuna wanawake? piga tu hata kama kuna nani mule, kwani wanaume hawana roho? hata ujidai kuwadharau wanawake? Tena ndio raha kweli na huyo mtoto akizaliwa namuita bomu la machozi or is it machizi?
Hivi ulishapona ule ugonjwa wako wa kupenda mabwana wa wenzio?
Asante kwa kumjibu kwa niaba yangu. Naona anafikiri kwa kutumia "Masaburi" zaidi badala ya ubongo. Yeye na serikali ya CCM hawana plan B ya mahali pa kuwapeleka wamachinga, baada ya kuwafukuza Mwanjelwa. Wamachinga nao (kwa maana ya sekta binafsi) wanachangia kukua kwa uchumi, ni sharti serikali iwatambue, iwape maeneo ya kufanyia kazi zao ili wasaidie kukuza uchumi kwa kulipa kodi zaidi.
Majuzi hapa wananchi wa Mbalizi wamendamana na kutaka kumpopoa kwa mawe Mkurugenzi wa wilaya ya Mbeya kwa kufuja mradi wao wa maji, na waliomweka mkurugenzi huyu madarakani wapo kimyaaa, hawajamchulkulia hatua za kinidhamu! Nyambaf
Hata wakikaa nao mezani hawatasuluisha,watawadanganya tu ili kuwatuliza.Mabomu ya machozi na risasi za moto havijawahi kuwa suluhisho la matatizo ya wananchi na kwahiyo hata kama polisi watayavurumisha wiki nzima haitakuwa suluhu.
Muhimu ni uongozi wa mkoa kuyatazama matatizo ya wamachinga kwa busara na kama wajibu wao wa lazima, wakae nao mezani, wawasikilize madai yao na hatimaye watafikia suluhisho. Hii hali ikiendelea hivi ninapata wasiwasi na mustakabali wa askari na familia za askari polisi wanaoishi uraiani! Katika hili waziri nahodha anatakiwa kuwa mbeya hadi muda huu ninapoandika post hii.
sidhani kama unamanisha ulicho ongea, na kama unamaanisha basi ni ule usemi wa adui wa adui yako ni mwenzako. Keepon FF soon you'll see bright new day shinning before you with working mfumo islam.Bado, unaweza. Ni mkong'oto tu, hakuna huruma kwa waleta fujo wachache wanaotaka tuvunja amani ya hii nchi.