ANT DRUGS
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 5,569
- 7,043
Mnaopeta na maji kila siku habari zenu?.
Tatizo la maji jijini Mwanza bado hali ni tete.Yaan nina miezi miwili sioni tone nyumbani kwangu.Baada ya Waziri Kuja Mwanza nilijua tunaenda kumpeleka ila ni kama hakuna kilichofanyika.Najiuliza maswali yafuatayo;
1.Ilikuwa siasa?
2.Timu iliyoundwa na Mh Aweso bado inajitapanga wananchi tuwe na matumaini?.
3.Waziri anajua kama kata ya Mhandu maeneo yote ya Machinjioni,Kwa Kibeshi,Kakebe n.k hakuna maji?.
4.MWAUWASA wanahangaikia hizi changamoto kweli au washatulia baada ya Waziri kupita?.
Wananchi tunaishi expensive life Kwa kulazimishwa Sana imagine tunanunua dumu moja la maji 700.
Mh waziri wa Maji naomba ufatilie upatikanaji wa Maji Mitaa hiyo hakuna haja ya kumgombanisha Raisi na wananchi wake.
@Moderators naomba mmtag Waziri Aweso kama yupo humu.