Hali bado tete jijini Mbeya

Hali bado tete jijini Mbeya

Mja amuongezee Mh Sugu hekima kwani hali ni tete na everyone is carefully watching him closely on everything he will do today.....
 
Kikao kimeanza sasa watu ni wengi sana. Mbunge Joseph Mbilinyi anahutubia sasa. Picha na Stanslaus yupo eneo la tukio. I hope he clear this mess out.



kikao.jpg


Na hapa ni wananchi baadhii wakiwa Kabwe Jijini Mbeya muda mfupi uliopita kungoja mazungumzo na Serikali kusuruhisha tatizo.


cc.jpg
duh!!
hiyo nyomi ina maana Mbeya watu wote ni wamachiga nini??
sasa serikali ya nini??
 
Kamanda usemayo ni kweli ila kwa hapa inabidi ili kuwakumbusha kuwa hawaishi mbali nasi wala hawajakodiwa... Wajifunze kutimiza haki na wajibu wao bila kuua watu masikin tanzania hii. Huku wao wenyewe wakiwa ni vibaraka tu ktk tanzania yetu.
I object your honor, huo ni uhaini utakaoliachia taifa hili makovu yasiyotibika

Lazima kutetea haki za wasio na hatia hata kama wazazi wao hawana habari ya kulinda na kutetea haki za raia wasiokuwa na hatia
 
Polisi imetangaza watu wakae majumbani kutokana na vurugu zinazoendelea. Picha hapo chini zinaonyesha hali ilivyokuwa Mbeya leo mchana.


Huyu kwa jina ni Gabriel Mwasomola mmoja kati ya majeruhi waliopigwa risasi eneo la stendi ya Kabwe, jijini Mbeya kutokana na vurugu zinazoendelea ambazo zimetokana na wafanyabiashara wadodowadogo machinga wa eneo la Mwanjelwa kuondolewa na halmashauri ya jiji kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa.

299534_282479388459648_100000927684717_862856_532139875_n.jpg


Barabara ikiwa imefungwa.

315050_282479901792930_100000927684717_862861_1292087280_n.jpg


Maduka yakiwa yamefungwa. Hapa ni stendi ya daladala Kabwe jijini Mbeya

374955_282451135129140_100000927684717_862778_1918787023_n.jpg



Nguzo ya bango la Matangazo lililopo eneo la Stendi ya daladala, ambapo tangazo lililokuwa eneo hilo la Airtel lilichomwa moto.

389012_282451185129135_100000927684717_862780_1258476947_n.jpg


Baadhi ya watu wakiendelea kufunga barabara

389826_282479981792922_100000927684717_862863_300405379_n.jpg


Mkuu wa mkoa wa Mbeya alikatiza ziara yake wilayani Mbozi ili kukutana na wamachinga.

DSC01830.JPG
 
Mh Sugu knwz watu wake na hapa Ccm wajifunze Nguvu ya Chadema hapa baada ya kauli ya Mh Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya CDM.
 
mambo kidogo yametulia maana hata daladaala zina tembea vizuri tu tunasubili jioni tuone.

Thanks mkuu. Upo kipande ipi? Hali imetulia kwa sababu JWTZ na JKT wamefika town kutuliza mambo. Polisi walishindwa kabisa ku-handle the situation. Na hii inatuma signal mbaya kwa watu.
 
Viongozi wetu wengi wana akili za akina Rejao, ff na wengineo, wao hudhan kila kitu ni siasa tu. Hebu tuangalie sakata la wamachinga Mbeya je ni kwa kiasi gani hawa viongozi wetu wametumia busara? Je weredi wao umekoma? No wao wanaendeshwa kwa unafiki tu, njaa, ndani mwao hawana utu, ni watu wasio jali utu wa mtu siku zote. Wanafurahia wadanganyika wakila unga maana ndo miradi yao, wanapendelea dada zetu wawe machangudoa tu... wawe vyombo vya starehe kwao na watoto wao. Viongozi wetu wanaogopa watz wakielimika, wakiwa na maisha bora ili watawale milele. Rejao watanganyika wa mbeya si panya, wala mende so msifurahie uuwaji kama huu kupitia kitengo hiki cha polisi. Swali langu kwako je polisi na nyie viongoz mko kisiwani? Hi ni Tanganyika yetu sote ikibomoka hakuna anayepona...
 
Mbunge Mbilinyi akiongea na wananchi

sugu.jpg


Mkuu wa wilaya kushoto akiwa na Joseph Mbilinyi
mkk.jpg



Wananchi kwenye mkutano

kikao.jpg


mapokezi.jpg
 
Wananchi walio kwenye mkutano wamekataa kata kata kumsikiliza mkuu wa wilaya ya Mbeya. Kwenye picha hapo chini anavyoonekana baada ya kukataliwa na wananchi walio kwenye mkutano.

mkuu+wa+wilaya.jpg
 
Kwa nini polisi/ waanzisha fujo(ffu) wameshindwa? Hii ni kiashiria kuwa wananchi wamepigika vya kutosha na hawana cha kupoteza. Aidha ni kwa sababu polisi hawaminiki tena mbele ya jamii wako kimaslahi zaidi kama Rejao, Ritz na wengine wengi. Polisi wetu wamekuwa chombo cha kukandamiza haki za raia, kupora na kuwa chombo cha kutisha raia wema wa Tanganyika yetu... Huku wakisahau kuwa hii ni yetu wote tuwe hatuna vyama maana ndo tuko wengi, tuwe na vyama lkn wote ni ndugu yaan watanganyika.
 
Wananchi walio kwenye mkutano wamekataa kata kata kumsikiliza mkuu wa wilaya ya Mbeya. Kwenye picha hapo chini anavyoonekana baada ya kukataliwa na wananchi walio kwenye mkutano.

mkuu+wa+wilaya.jpg

Dah! Mzee Mzima Uso umemshuka kama Mbuzi wa Kafara
 
Siku hizi mtu yoyote anayeuza barabarani ni mmachinga hata awe ni mpare.
issue ni kwamba sekeseke la soko la mwanjelwa lilivyoungua then ndo kwanza linakamilika wanaambiwa waondoke, lile la SSIDO limeshaungua, sasa serikali gani isiyojali wananchi wanaoaribikiwa na mali zao??
 
Kwa nini polisi/ waanzisha fujo(ffu) wameshindwa? Hii ni kiashiria kuwa wananchi wamepigika vya kutosha na hawana cha kupoteza. Aidha ni kwa sababu polisi hawaminiki tena mbele ya jamii wako kimaslahi zaidi kama Rejao, Ritz na wengine wengi. Polisi wetu wamekuwa chombo cha kukandamiza haki za raia, kupora na kuwa chombo cha kutisha raia wema wa Tanganyika yetu... Huku wakisahau kuwa hii ni yetu wote tuwe hatuna vyama maana ndo tuko wengi, tuwe na vyama lkn wote ni ndugu yaan watanganyika.
Kuna watu wamepigika na maisha, hapo bongo penyewe jijini Dar kuna maeneo ukiendesha watu wanatembea tu wamepigika hata hawaogopi kugongwa na magari.

Wasukuma mikokoteni ndo balaa,ni kama wanyama,na hawaogopi gari...Hawaogopi kifo.

Na wananchi wa aina hiyo wako wengi kweli kweli.Hata nchi nzima!
 
Kuna haja ya kuwaelimisha wananchi ili watofautishe sheria na siasa.

Serikali inakosea kuwapangia maeneo ya biashara?. No.
 
Wapeleke tena semi trailer za mabomu kama yanasaidia, hakuna amani inayoletwa kwa mabomu! CCM wameufyata naona Pinda ndio usingizi anausikia tu labda achomwe sindando za usingizi!!!!Hiii mwanzo tu
 
Nimeongea na watu wa Mbeya sasa hivi, wananiambia hakuna lolote huko, wleta fujo wamedhibitiwa, FFU na polisi wanazunguka zunguka mitaani na magari yao na ukionekana unaashiria fujo unakula mkong'ong'oto na kutupiwa nyuma gari ukajieleza mbele ya safari. Na vikosi vingine vinaelekea huko, haya tokeni ndani mbona mnajificha? si wajanja nyie?
wleta,nyuma gari, UNAJITAHIDI SANA KUKUZA KISWAHILI
 
Back
Top Bottom