Hawana sera au hizo ni propaganda za kijinga za chama chako za kusema wapinzani hawana sera?
Huzifahamu sera za CHADEMA? Hujui itikadi na falsafa ya CHADEMA?
Kutokujua kwako hakufanyi wawe hawana sera.
Acha kukariri mambo ya kijinga.
Ccm haitegemei kura za wananchi kushinda uchaguzi, hata kikija chama gani bado kwa kuwatumia wateule wa wakurugenzi na polisi watashinda, Tanzania uchaguzi haufanyiki bali huwa ni maigizo tu.
Huu ndiyo ukweli! Huwa najiuliza, hivi wale wanaodai wananchi wanavikataa vyama vya upinzani, huwa wanatumia vigezo gani? Kipimo halali, ni uchaguzi huru. Aliyepata kura tatu, zithaminiwe. Aliyepata kumi, naye kura zake zitambulike, na kuthaminiwa!
Kweli mimi kilaza hujakosea.
Sasa wewe akili kubwa nifunue akili nieleze itikadi ya chama cha upinzani ulichosema.
Nipe pia na sera zake za kudumu siyo 'a certain general election manifesto'.
We mjinga,ulibakwa na wachaga nini.
Mimi ni mnyakyusa na nipo CHADEMA,na hatusubiri tupewe nchi tutaipigania na soon tutashinda.
Takataka mkabila wewe,mtoto wa kahaba.
Sema Jamaa kama yule wa Gunnea kwenye Jeshi letu hakuna
Wangekuwepo tungeonea kipindi Cha Magufuli alivyotoa ubunge kama Bonus Kwa watu anaowataka yeye
Sema Jamaa kama yule wa Guinnea kwenye Jeshi letu hakuna
Wangekuwepo tungeonea kipindi Cha Magufuli alivyotoa ubunge kama Bonus Kwa watu anaowataka yeye