Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,469
- 1,697
Any way, ukisema watanzania kibao wanafanya kazi Amerika na England naomba nikuulize kazi gani? Za kupangusa mavi kwenye mikundu ya wazungu na kuzoa taka zao?Utakua mgeni nchi hii. Hakuna rais aliyeajiri kwa kipindi kifupi cha miezi 6 tuu zaidi ya watanzania elfu 7 wamepata ajira rasmi serikalini hapo sijazungumzia sector binafsi. Hii haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Suala la kuajiri foreigners hili ni la kisera tuu hata huko marekani na UK wapo watanzania kibao wanafanya kazi. Watanzania tuache uvivu wa kufikiri mama anaupiga mwingi sana.
Hawa watanzania wanao kulika huko nje kwa kwa kazi za hali ya chini kwa mishahara midogo, wangeamua kukaa kwao na kupata assistence au back up ya serikali katika kujiendeleza kwenye shughuli za creativenes, unafikiri wangekuwa wako wapi? Na taifa je lingekuwa wapi?
Kwa kuzingatia kuwa Tanzania ni nchi huru isiyofungamana na mkondo wowote ule wa kiitikadi za ulimwengu na pia kuwa nchi iliyojaliwa kuwa na rasilimali nyingi na diversity ya wanyama ulimwenguni, sioni haja yoyote ya Rais kuzunguka kila nchi kuomba misaada ya mabepari au kutafuta wahisani wa kuwekeza nchini, why?
Ukweli ni kwamba hana haja hiyo! Kila kitu kinacho hitajiwa tunacho sisi wenyewe hapa hapa nchini.
Anacho takiwa ni kutumia akili yake kujua nini afanye na utajiri tulio nao. Yeye ni Rais na ana namlaka makubwa sana ya kuamua nini afanye kwa maendeleo ya nchi yetu.
Kama swala ni hela za ku-finance miradi yetu, kitu gani kinamzuia yeye kuweka rehani ya baadhi ya madini yetu, kwa mfano dhahabu, ambayo ikamwezesha kuchukua mikopo ambayo itasaidia ku-finance hiyo miradi?
Nimshauri Rais wangu kutambua kuwa Business means mobility, bila easy na quick mobility hakuna Real economic growgh ambao utawawezesha wananchi kuwa na ability ya ku-afford investment kubwa ambayo itawasaidia ku boost maendeleo yao.
Kulingana na nature ya geographical position ya nchi yetu ni advantage kubwa kuwekeza kwenye network ya usafiri wa uhakika wa high speed trains na majirani zetu. Kwa vile average ya 250 km/h ni Standard speed ulimwenguni, kuwa na transport tool au network yenye capacity hiyo, Tanzania na hasa Bandari zetu Dar es salaam, Tanga na Mtwara zingekuwa Hubs za kusambaza mizigo kwa majirani zetu na hivyo ku-garantii wealth wa nchi yetu.
Soko letu la Kariokoo pia lingekuwa soko kubwa Afrika masahariki na kati ambalo lingeweza kuwavutia wafanya biashara wengi kutoka nchi za nje kuja kuwekeza kwenye hii sekta na kuzalisha ajira nyingi kwa vijana wetu.
Ama hakika bandari yetu na soko hili vingekuwa vitega uchumi vikubwa nchini vya mapato. Hali ambayo ingesababisha ajira nyingi kuzalishwa na vile vile kubadilisha mind set ya watanzania.
Nina uhakakika dhahabu yetu itaisha na sisi hauka kitu kikubwa ambacho tutakuwa tumekifanya kwa maendeleo yetu. Maendeleo yanaletwa na jamii inayo jiamini na sio jamii ambayo ni tegemezi na yenye uoga.
Hawa jamaa ambao Rais wetu anataka waje kuwekeza kwenye rasilimali zetu, kama mleta mada alivyo sema, ni watu ambao wanajua jinsi gani ya ku make profit out of it, kiasi kwamba sisi wenye mali hatupati kitu, au hata kama tutaambulia chochote basi kitakuwa ni kidogo sana, kiasi kwamba hakita saidia kwenye maendeleo yetu. Hiyo ndiyo principle.
England ilikuwa Giant, sasa hivi ni dwarf katika nchi zenye uchumi mkubwa duniani. Uchumi wa England umeuawa na matajiri wao walio waduga wenyewe.