vipi k9Inategemea na matumizi yako mkuu...Kama wewe ni mtu wa kupiga , kupokea simu , Watsaap, Instagram na youtube Tecno sio mbaya saana as long as Speed na power sio issue saaana kwako.
Ila kama una matumizi mazito zaidi ya hapo yaani Games , Detailed photo shoot, kutumia App nyingi kwenye background kwa muda mmoja na matumizi mengine as long as speed na power kwako ni muhimu bhac Tecno haikufahi.
Na kwa hiyo biashara ya k7 (spark) na J3 hapo kweli uliingia mkenge , Atleast ungebadilishana na Camon Cx japo Tecno tecno tu![]()
Ndugu kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake,anayeipenda atumie binafsi naona Tecno imesaidia sana watu wengi kumiliki simu janja tofauti ingekuwa shidaUnashauri nini kwa watumiaji wa Tecno humu ndani?
Sumsung ni simu aina gani mkuu? Ila kama unamaanisha Samsung ningependa nikuulize ulishawahi kutumia Samsung original?Mkuu jarbu na na tecno CX camon hii nihabari nuingine ni zaidi ya sumsung uzijuazo kwisha habari yako
Wewe acha kabisa kufananisha Infinix na vitu vya ajabuajabuSasa Mkuu infinix na tecno si kama john na daudi?
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahaHaiuzwi mkuu ni kosa la jinai kukutwa inauzwa huko China,ndio maana hakuna hata Mchina anayeitumia hiyo simu ya Tecno
Principle of demand and supplyBidhaa inayopatikana kwa wingi (pengine na bei yake ikawa chini mno) maranyingi huwa ni bidhaa isokukuwa bora
Kinyume chake
Bidhaa inayopatikana kwa uchache sokoni (na pengine hata bei yake ikawa ghali) mara nyingi huwa ni bidhaa bora
Na hapo ndo utajua kwanini wanasema...
"Kizuri chajiuza" na
"Kibaya chajitembeza"
Mm mwalimu nina Samsung A8 2017. Cha ajabu kuna jamaa jirani yangu ni mhasibu wa NHC anatumia tecno.TeCno simu ya walimu
Tecno ni tecno tuTecno Cx kavu na tecno phantom 6 ndio tecno bora pia c9 inaubora sana hzo nyngne kuna malalamiko mengi sana
Mbona zipo. Hata yule RPC wa Dodoma anatumia hiyoHivi dukani bado zinapatikana kweli?.
Umezoea matatizo kiukweli tecno ni mbovuSijaona ubaya wake, Sana sana wewe ndo nakuona mshamba wa kutumia cm.
Nimetumia miaka na miaka, kama hujui kutumia cm usiseme ni mbovu... pye
Uliihalibu mwenyewe bhanaUsizifie kitu usichojua kam toka uzaliwe umetumia tecno tumia hizo hiz ndo saiz yako kwa upeo wa mawazo yakk utaziona za maan wauliz wanaozielewa simu hata hao wanaoouza madukan humkut anatumia tecno najuta kuingizwa mkenge