Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

nilienda dukan nikakuta wanauza c9 laki na 80 halaf pemben pana nokia ya batan e72 ya mwaka 2009 kwa bei moja, hata sikujiuliza nikabeba e72 yang, sista akaniuliza "we umelewa?" mwenye duka akamwambia kwa ninavyomuona huyu jamaa angechukua tecno ningeshangaa sana japo ningeuza mana mimi nipo kibiashara. Swear tecno hata bure situmii, kwanza hata uishke haina munkari.
 
watumiaji weng wa tecno utasikia anaisifia charge, camera na tochi hahaaa yan hawa jamaa n hopeless kbsa na weng wana stress ukikohoa kdg tu ukaitngsha unaambiwa no contact found
 
Shida yetu ni moja hatujui simu gani itumike Kwa kipindi gani.
Unakuta katoto ka 4m4 kanatumia simu yenye uwezo mkubwa alafu matumizi yake ni
Google
Kupiga simu na kupokea simu
Kutuma na kupokea sms sasa huwa najiulizaga huyu aliemnunulia hii simu alikuwa anaweza nn.
Kwa wale wenzangu tuliosoma uchumi hii tunaita unemployment

kila simu ni bora ulinitumia Kwa wakati sahihi na matumizi sahihi
 
nilienda dukan nikakuta wanauza c9 laki na 80 halaf pemben pana nokia ya batan e72 ya mwaka 2009 kwa bei moja, hata sikujiuliza nikabeba e72 yang, sista akaniuliza "we umelewa?" mwenye duka akamwambia kwa ninavyomuona huyu jamaa angechukua tecno ningeshangaa sana japo ningeuza mana mimi nipo kibiashara. Swear tecno hata bure situmii, kwanza hata uishke haina munkari.
E 72 mzee ile kiboko yangu ilianguka ikakata mkanda ndo ilikuwa mwisho wake ila ulikuwa ukipiga picha japo ni megapixel 5 ila ilikuwa ni bomba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom