Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

Wewe umejaza app hiyo simu tena ram 1gb usiikashifu huwezi zitumia. Ukitumia simu angalia specs zake kwanza, processor speed na zipo core ngapi.

Wewe umejaza app na kila app inatafuna ram bado data zake zinakula storage, hujajaza personal files hapo. Unategemea nini kama siyo kuganda, hizo simu zipo poa ukiitumia kuendana na uwezo wake.
Tecno ina Processor gani ya maana ama RAM, huwezi kucompare processor za mediatek na exynos na snadragon. Tecno ni simu ambazo zimetengenezwa kwa material ambayo ni duni.

Hata kama hujaweka Apps nyingi, bado simu yaweza kukusumbua. Ni vyema watu wakanunua simu kutoka ktk makampuni ambayo yanaeleweka kuwa ni ya simu na sio hizi takataka. Kwao kwenyewe China Tecno haziuzwi, umejiuliza kwanini? Kitu kitengenezwe nchini kwako na bado kikakataliwa kuuzwa humohumo.
 
Mkuu jarbu na na tecno CX camon hii nihabari nuingine ni zaidi ya sumsung uzijuazo kwisha habari yako
Serikali ya dhalimu ya magufuli yapaswa kukupeleka dodoma kama binadamu ambae umerukwa na akili.

Hovyo kabisa, Tecno ukaipambanishe na Samsung!? Mods piga Ban huyu.
 
Tecno ni simu bora kwa makundi mawili tu
1.wenye kipato cha kawaida na cha chini.
2.wenye elimu ya kawaida kuhusu tenolojia,yaani wale ambao wanatazama vitu vichache tu mfano WhatsApp,Facebook,messages kupiga na kupokea pamoja na picha.
Asante Mkuu, umepiga penyewe.
 
Mediatek hata Samsung
Tecno ina Processor gani ya maana ama RAM, huwezi kucompare processor za mediatek na exynos na snadragon. Tecno ni simu ambazo zimetengenezwa kwa material ambayo ni duni.

Hata kama hujaweka Apps nyingi, bado simu yaweza kukusumbua. Ni vyema watu wakanunua simu kutoka ktk makampuni ambayo yanaeleweka kuwa ni ya simu na sio hizi takataka. Kwao kwenyewe China Tecno haziuzwi, umejiuliza kwanini? Kitu kitengenezwe nchini kwako na bado kikakataliwa kuuzwa humohumo.
Mediatek hata Samsung Mediatek wanatumia Samsung (Samsung j7 max), walishasema kwa nini hawauzi kwao (kuna ushindani mkali, uwezo kiuchumi sio sawa na huku
 
Tecno ni tecno tu
Kuna hizi Tecno Spark zinauzwa kwa 210,000 bei ya mwisho k/koo, unazifahamu? Hii simu ina feature ya Fingerprint scanner, sasa mkuu cha ajabu ukitaka kuregister kidole chako wanakwambia haina uhakika/ufanisi mzuri, hivyo chochote chaweza kutokea kuwa negative ktk mambo yote unayoweza kutumia kwa fingerprint.

Binafsi ilinishangaza, yaani kifupi ni kwamba naweza nikaregister kidole changu ila baadae simu ikarecognise kidole cha mtu mwingine pia mbali na mimi. Hii ni hatari kubwa sana Mkuu, ukitazama akina Samsung, Iphone, Sony hawana huu uchafu, fingerprint zao zipo vizuri kwelikweli.
 
Asilimia kubwa ya wachina wanatumia Fero/vinovo/huawei,sio rahis sana mchina kutumia iphone au samsung ni wachache sana,naifanya kaz hii ya simu nafanya na hawa watu na naenda kwao 4-5 kwa mwaka,so nawaelewa sana kuliko ww uliewaona posta
Sijui niseme ni nini, ni ubishi? Mahaba kwa Tecno ama ni nini? Mimi ndie niliyewaona wanatumia iphone, wewe unakataa, hujioni kama unataka ubishani usio na maana?
 
Mediatek hata Samsung Mediatek hata Samsung Mediatek wanatumia Samsung (Samsung j7 max), walishasema kwa nini hawauzi kwao (kuna ushindani mkali, uwezo kiuchumi sio sawa na huku
China kuna upinzani mkali, na Europe je?
 
Tecno ina Processor gani ya maana ama RAM, huwezi kucompare processor za mediatek na exynos na snadragon. Tecno ni simu ambazo zimetengenezwa kwa material ambayo ni duni.

Hata kama hujaweka Apps nyingi, bado simu yaweza kukusumbua. Ni vyema watu wakanunua simu kutoka ktk makampuni ambayo yanaeleweka kuwa ni ya simu na sio hizi takataka. Kwao kwenyewe China Tecno haziuzwi, umejiuliza kwanini? Kitu kitengenezwe nchini kwako na bado kikakataliwa kuuzwa humohumo.
Muda mwingine uwe unaongea ulicho na uhakika nacho, tofautisha processor na chipset.
 
ushasema simuina RAM 1GB sasa kustuck unashangaa nini!?
 
Kuna watu mnapenda kulalamika duuuSimu ulibadilishana ww mwenyewe kwa hiari yako ila unavyobwata.... Iyo simu ingekuwa ya serikali Je?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom