J C
JF-Expert Member
- Dec 12, 2013
- 3,139
- 2,635
Vema Mkuu umewaambia. Kila mtu anakuna anapofikia alafu kikubwa kabisa humu jf ukiingia na simu haionyeshi ni aina gani mtu anatumia maandishi ni Yale Yale mchango ni ule ule simu ni simu jina kelele tu. Kuna hizi techno C8 zina camera matata sana pia charge ni inakaa zaidi ya yote tochi yake ni balaa umeme ulikatika hospital moja hivi binafsi wakawasha sijui vi sumsung vyao na nyinginezo Mzee nikawasha dude wacha wakati wa kuondoka nisiombwe ilale na mgonjwa nikagoma aisee.Hao mnaoponda Techno mtuambie mlinunua za bei gani?maana kama mlinunua za bei ya chini mnategemea nini. Isije ikawa mnaosifia hizo simu nyingine mnazitumia kama mayai halafu mnajisifia zinadumu kumbe zinadumu kwa sababu mnazibembeleza sana katika matumizi.
Aisee kila ajikune anapofikia na tuheshimiane mjini linakwama ni langu sio lako sijui linatumia technologia gani hilo sijui ila ninachojua ninamiliki simu janja period.
