Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

Kama huna iphone au samsung wewe huna simu. Ila una kifaa cha mawasiliano. Simu za tecno zina soko kwenye nchi za afrika kwa sababu ya unafuu wa bei yake na aina ya watumiaji wake. Ndio manaa zinauzwa kama njugu. Watu husema cheap is expensive amini. Kama unahitaji simu ya kukaa nayo muda mrefu tafuta iphone.. hawa ni mkataba. Halafu wanafatiwa na Samsung
Mkuu, ila bado kuna Nokia, Sony, HTC, Google, LG n.k
 
RAM kubwa si ubora wa simu, kinacho ifanya simu iwe na uwezo wa ku process data kwa haraka ni chipset na hizi simu pendwa za Tecno wanatumia low quality mediatek chip, hizi simu hata ikiwa na 3GB ram bado itakuwa na performance ndogo ikilinganishwa na simu zinazotumia chipset za Snapdragon au Exynos.
Mkuu, wape darasa wape darasa wanafunzi wa Tecno. Wasipoelewa tuombe mods wawape Ban.
 
Tecno huko China huwa zinatengenezwa "for export only" ina maana hakuna raia wa China anayeruhusiwa kuitumia wala kuiuza ndani ya China sasa ulitaka wazitumie harafu wangerudije? Jamaa wanatutengenezea vitu feki harafu wanatuletea huku
Leo umenifungua macho mkuu, Tecno hata nchini kwao china haiuzwi?

Hahahahaahahahahahahahahahahahahahaha!!!!!
 
Tecno zinatengenezwa kwa ajili ya soko (cheap market) la Africa..huzikuti Ulaya wala Northern America..Gsm arena yake ni utata mtupu!..mbona huawei zipo ok pamoja na kuwa ni made in China!Tecno bado sana mkuu!
Tecno ni UCHAFU mkuu
 
Nunua iPhone uwe tofauti.Tangu nimeanza kupata akili timamu nimetkua ninatumia iPhone.Mpaka sasa natumia iPhone.Sijawahi kujuta.Kwanza ni unique yaan unaweza kukuta kazini mko wawili tu wenye iPhone.Inaondoa usumbufu wa kuombwa chaja.Pia iPhone wanatumia watu wenye heshima na mwinekano nadhifu haijalishi iPhone 4,5,6,7,8 or x.Ukiwa na iPhone unaonekana wa tofauti
 
Bro sio iphone na samsung au Huawei tu kuna simu nyingi ziko poa saana kushinda hata baadhi ya model za samsung na Iphone , sema ni kwa vile hazijawa maarufu huku Africa.
Mfano Xiaomi , One plus , Moto(motorola) , Vivo na nyingine nyingi tu.
Ila kibongo bongo tunapambana na hizi tulizozicrame , Ila cha msingi ni mtu kuwa na imani na kile unachonunua.
Tuletee hizo product zingine tuzipambanishe na Samsung S9, Iphone 8 n.k
 
Hao mnaoponda Techno mtuambie mlinunua za bei gani?maana kama mlinunua za bei ya chini mnategemea nini. Isije ikawa mnaosifia hizo simu nyingine mnazitumia kama mayai halafu mnajisifia zinadumu kumbe zinadumu kwa sababu mnazibembeleza sana katika matumizi.
Ushawahi kutumia Iphone?
 
Vema Mkuu umewaambia. Kila mtu anakuna anapofikia alafu kikubwa kabisa humu jf ukiingia na simu haionyeshi ni aina gani mtu anatumia maandishi ni Yale Yale mchango ni ule ule simu ni simu jina kelele tu. Kuna hizi techno C8 zina camera matata sana pia charge ni inakaa zaidi ya yote tochi yake ni balaa umeme ulikatika hospital moja hivi binafsi wakawasha sijui vi sumsung vyao na nyinginezo Mzee nikawasha dude wacha wakati wa kuondoka nisiombwe ilale na mgonjwa nikagoma aisee.

Aisee kila ajikune anapofikia na tuheshimiane mjini linakwama ni langu sio lako sijui linatumia technologia gani hilo sijui ila ninachojua ninamiliki simu janja period.
Hahahahaha Mkuu nmekupa like sio kwamba naipenda Tecno ila kutokana na hiko kisa cha hapo hospitali.
 
  • Thanks
Reactions: J C
Kila simu ina uzuri na mapungufu yake. Jambo la muhimu ni matumizi yako. Fuso haliwezi kuwa gari LA kusafirisha abiria.
Hahahahahahaahaha mkuu huo msemo wako una maana gani kwa watumiaji wa Tecno?
 
Nunua iPhone uwe tofauti.Tangu nimeanza kupata akili timamu nimetkua ninatumia iPhone.Mpaka sasa natumia iPhone.Sijawahi kujuta.Kwanza ni unique yaan unaweza kukuta kazini mko wawili tu wenye iPhone.Inaondoa usumbufu wa kuombwa chaja.Pia iPhone wanatumia watu wenye heshima na mwinekano nadhifu haijalishi iPhone 4,5,6,7,8 or x.Ukiwa na iPhone unaonekana wa tofauti
Mkuu, inaondoa usumbufu wa kuombwa nini?


Hahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Wewe umejaza app hiyo simu tena ram 1gb usiikashifu huwezi zitumia. Ukitumia simu angalia specs zake kwanza, processor speed na zipo core ngapi.


Wewe umejaza app na kila app inatafuna ram bado data zake zinakula storage, hujajaza personal files hapo. Unategemea nini kama siyo kuganda, hizo simu zipo poa ukiitumia kuendana na uwezo wake.
 
Umeanza kutumia smart lini yaani unaangalia mwonekano was nje pelusi ndani utajua ubola was cm
 
Leo umenifungua macho mkuu, Tecno hata nchini kwao china haiuzwi?

Hahahahaahahahahahahahahahahahahahaha!!!!!
Haiuzwi mkuu ni kosa la jinai kukutwa inauzwa huko China,ndio maana hakuna hata Mchina anayeitumia hiyo simu ya Tecno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom