Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,228
- 1,530
Watu bwana, mtu ana Samsung ya Tsh. 250,000/= anamdharau mtu mwenye Phantom ya Tsh. 800,000+/= huu ni ulimbukeni kweli na kufata mkumbo. Ukweli utabaki Kwamba sumsung yako ya Tsh. 250000 mpaka chini ya Tsh. Laki nane haiwezi kufikia ubora wa phantom.