Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

numis

Senior Member
May 25, 2017
176
188
habari zenu wana jamvi yani nilikuwa nina samsung yangu nzur mno j3 2016 kioo amoled kuna rafiki yangu akaipenda kwel na alikuwa anatumia tecno K7 ikambid anipe hiy tecno aniongeze na hela kidogo lakin kilichonikuta kwakwel najuta na hiy k7 ni mpyaa sanaaa na ina finger print cha ajabu ina stuck kukik maelezo na ina gb 16 na ram 1 gb kwakwel nikawa nimeingia mkenge nilikuwa sina raha nayo haina mvuto kabisa wala mzuka baada ya kuitumia kam wiki mbil nikawa nimeichoka mno mambo yake ikanibid niiuze kwa elfu 80 hata sikujiuliza ninawaomb wanajamvi kama kuna mtu ana mpango wa kununua tecno hii k7 ni simu isiyo na kiwango narudieni tena tecno ni simu mbovu na majanga sijapata kuona nawasilisha
 
Huaweiziko kiwango
 
Bidhaa inayopatikana kwa wingi (pengine na bei yake ikawa chini mno) maranyingi huwa ni bidhaa isokukuwa bora

Kinyume chake

Bidhaa inayopatikana kwa uchache sokoni (na pengine hata bei yake ikawa ghali) mara nyingi huwa ni bidhaa bora

Na hapo ndo utajua kwanini wanasema...
"Kizuri chajiuza" na
"Kibaya chajitembeza"
 
Sijaona ubaya wake, Sana sana wewe ndo nakuona mshamba wa kutumia cm.
Nimetumia miaka na miaka, kama hujui kutumia cm usiseme ni mbovu... pye
Usizifie kitu usichojua kam toka uzaliwe umetumia tecno tumia hizo hiz ndo saiz yako kwa upeo wa mawazo yakk utaziona za maan wauliz wanaozielewa simu hata hao wanaoouza madukan humkut anatumia tecno najuta kuingizwa mkenge
 
habari zenu wana jamvi yani nilikuwa nina samsung yangu nzur mno j3 2016 kioo amoled kuna rafiki yangu akaipenda kwel na alikuwa anatumia tecno K7 ikambid anipe hiy tecno aniongeze na hela kidogo lakin kilichonikuta kwakwel najuta na hiy k7 ni mpyaa sanaaa na ina finger print cha ajabu ina stuck kukik maelezo na ina gb 16 na ram 1 gb kwakwel nikawa nimeingia mkenge nilikuwa sina raha nayo haina mvuto kabisa wala mzuka baada ya kuitumia kam wiki mbil nikawa nimeichoka mno mambo yake ikanibid niiuze kwa elfu 80 hata sikujiuliza ninawaomb wanajamvi kama kuna mtu ana mpango wa kununua tecno hii k7 ni simu isiyo na kiwango narudieni tena tecno ni simu mbovu na majanga sijapata kuona nawasilisha
Yaani we unabadili unapewa Tecno ye unampa Samsung hauko siliasi hata kidogo aisee.........Tecno ni simu mbovu ambayo ukinipa hata bure sichukui
 
Inategemea na matumizi yako mkuu...Kama wewe ni mtu wa kupiga , kupokea simu , Watsaap, Instagram na youtube Tecno sio mbaya saana as long as Speed na power sio issue saaana kwako.
Ila kama una matumizi mazito zaidi ya hapo yaani Games , Detailed photo shoot, kutumia App nyingi kwenye background kwa muda mmoja na matumizi mengine as long as speed na power kwako ni muhimu bhac Tecno haikufahi.
Na kwa hiyo biashara ya k7 (spark) na J3 hapo kweli uliingia mkenge , Atleast ungebadilishana na Camon Cx japo Tecno tecno tu
 
Huyo ashatumia Tecno tu hajawahi tumia simu nyingine kwa hiyo hawezi kujua uzuri wa hizo zingine
Si ndio kabisa alafu anakuja hapa kutetea upuuzi wakati mm pia nimeitumia na ni majanga na ililuwa mpya k7 imetok mwaka jana mwishoni wew miaka mwili umeipatia wapi ya kwako kam sio ushamba ndo wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom