HAKUNA SABABU YA LISSU KUENDELEA KUKAA NYUMA YA NONDO

Hakuna haja yoyote Lissu kuendelea kukaa nyuma ya Nondo hata kama anataka kujitoa kafara kwa ajili ya wengine kama ndio anafikiri hivyo binafsi naiita kafara ya kipuuzi tu.

Huwezi kujitosa kupambania maiti.Watanzania waachwe kama walivyo na maisha waliochagua kuishi.
Sisi Watanzania tumewakosea nini?
 
Na hata tume ya uchaguzi ipo imara isiyupimbishwe na wajinga, lissu akubali uchaguzi ulikua wa wazi na raisi samia alishinda kwa kishindo kwa 98%, ni wazi tuaompenda Samia ni wengi sana.
Kesi ya uhaini aliyobambikiwa Lisu ina uhusiano upi na ushindi aliopewa Samia?
 
Na safari hii mkitaka kuleta ujangili wa mo 29 mkishaghulikiwa msilalamike, hayo alitakiwa kujua mapema sana, na nyie mjue hilo, nashukuru kutupa sifa yetu sisiem kwamba tunaongoza kundi la wapumbavu wenye ubongo wa mende.

Huyo lissu afuate tuu tunachotaka bila mihemko ya kutaka kuonekana shujaa.

Ccm itaongoza Tanzania leo, kesho, na hata milele huo ndio ukweli.

Hakuna kiumbe,mtu,kitu au hata mzimu unaweza kuongoza hii nchi kama sio ccm.

Na hata tume ya uchaguzi ipo imara isiyupimbishwe na wajinga, lissu akubali uchaguzi ulikua wa wazi na raisi samia alishinda kwa kishindo kwa 98%, ni wazi tuaompenda Samia ni wengi sana.
Safari hii mi namtamani bi Eda tu. Yuko mpweke sana. Na nitahakikisha ataongoza hata milele.
 
Hakuna haja yoyote Lissu kuendelea kukaa nyuma ya Nondo hata kama anataka kujitoa kafara kwa ajili ya wengine kama ndio anafikiri hivyo binafsi naiita kafara ya kipuuzi tu.

Huwezi kujitosa kupambania maiti.Watanzania waachwe kama walivyo na maisha waliochagua kuishi.
Lissu sio mbowe
 
Ndio maana Lissu LAZIMA anyongwe hadi kufa!
 
Back
Top Bottom