Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,714
Hakuna haja yoyote Lissu kuendelea kukaa nyuma ya Nondo hata kama anataka kujitoa kafara kwa ajili ya wengine kama ndio anafikiri hivyo binafsi naiita kafara ya kipuuzi tu.
Huwezi kujitosa kupambania maiti.Watanzania waachwe kama walivyo na maisha waliochagua kuishi.
Huwezi kujitosa kupambania maiti.Watanzania waachwe kama walivyo na maisha waliochagua kuishi.