Hakuna popote Rais Magufuli aliruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia wema!

Kuna kauli fulani za utata ziliwahi kutolewa, tatizo ni pale askari wanapoweza kuzitumia kauli hizo kutimiza uovu huku wakiwa na baraka za mkuu wetu.

Kuna kipindi majambazi wengi walipelekwa porini ili kuonyesha wenzao ama wapi walipoficha silaha zao halafu wakajaribu kutoroka na kupigwa risasi miguuni na kufa !

Long live JF, Asante mkuu
 
Kuna upotoshaji mwingi sana anaoufanya Tundu.Hasa la Rais kuruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia.

Kilichosemwa na Mhe Rais ni Askari asikamatwe kwa kosa la yeye kupambana na kuhatarisha usalama wake na jambazi!Alienda mbele zaidi katika mapambano ya aina hiyo na wahalifu ni vyema Askari wakapewa kongole na ikibidi wapandishwe vyeo kwa kutimiza wajibu wao vyema.

Sasa sijui huyo Tundu anapata wapi nguvu na ujasiri wa kutuhumu uongo kwa kiwango kile!

Anyway,malipo ya uongo wake soon yatajibu.
Kama angekuwa amesema hivyo lisingekuwa jambo jipya, na wala hakuna askari aliyewahi kukamatwa kwa kosa la kupambana na kuua jambazi ila waliofanya hivyo walipongezwa na kupandishwa vyeo. Mfano ni Yule Traffic aliyepambana na majambazi walioteka Gari la NMB pale Ubungo mataa wakati wa Uongozi wa Kikwete.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kauli fulani za utata ziliwahi kutolewa, tatizo ni pale askari wanapoweza kuzitumia kauli hizo kutimiza uovu huku wakiwa na baraka za mkuu wetu.

Kuna kipindi majambazi wengi walipelekwa porini ili kuonyesha wenzao ama wapi walipoficha silaha zao halafu wakajaribu kutoroka na kupigwa risasi miguuni na kufa !

Nadhani ipo na nyingine inasema wale wanajeshi wanajua wanaosaliti huwa wanawafanya nini??? Ilikuwa wakati wa kuzuia makinikia kama nakumbuka vizuri.
 
Kuna upotoshaji mwingi sana anaoufanya Tundu.Hasa la Rais kuruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia.

Kilichosemwa na Mhe Rais ni Askari asikamatwe kwa kosa la yeye kupambana na kuhatarisha usalama wake na jambazi!Alienda mbele zaidi katika mapambano ya aina hiyo na wahalifu ni vyema Askari wakapewa kongole na ikibidi wapandishwe vyeo kwa kutimiza wajibu wao vyema.

Sasa sijui huyo Tundu anapata wapi nguvu na ujasiri wa kutuhumu uongo kwa kiwango kile!

Anyway,malipo ya uongo wake soon yatajibu.
fuatilia botuba yake alipokuwa chuo cha polisi kurasini wewe mnafiki acha kutufanya matahira kama wewe uliyekubali kuvizwa akili yako
 
Kuna upotoshaji mwingi sana anaoufanya Tundu.Hasa la Rais kuruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia.

Kilichosemwa na Mhe Rais ni Askari asikamatwe kwa kosa la yeye kupambana na kuhatarisha usalama wake na jambazi!Alienda mbele zaidi katika mapambano ya aina hiyo na wahalifu ni vyema Askari wakapewa kongole na ikibidi wapandishwe vyeo kwa kutimiza wajibu wao vyema.

Sasa sijui huyo Tundu anapata wapi nguvu na ujasiri wa kutuhumu uongo kwa kiwango kile!

Anyway,malipo ya uongo wake soon yatajibu.
Taratibu zinaeleweka wazi haki za raia na wajibu wa polisi! Alikuwa na maana gani kutoa tamko la kijinga hivyo? Yaani askari abambikie kesi ya ujambazi au atuhumu tu kwa sababu ya uroho kama akina zombe halafu asishitakiwe Jiwe halisafishiki!!
 
Ni kweli kama uwongo soon utaonekana hata walio mpiga risasi Lissu pia wataonekana mungu hamfichi mnafiki.
Kuna upotoshaji mwingi sana anaoufanya Tundu.Hasa la Rais kuruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia.

Kilichosemwa na Mhe Rais ni Askari asikamatwe kwa kosa la yeye kupambana na kuhatarisha usalama wake na jambazi!Alienda mbele zaidi katika mapambano ya aina hiyo na wahalifu ni vyema Askari wakapewa kongole na ikibidi wapandishwe vyeo kwa kutimiza wajibu wao vyema.

Sasa sijui huyo Tundu anapata wapi nguvu na ujasiri wa kutuhumu uongo kwa kiwango kile!

Anyway,malipo ya uongo wake soon yatajibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna raia mwema na raia asiye mwema, acha zako aise. Kila raia ni mwema.
Yes mpaka mahakama ithibitishe kuwa ni JAMBAZI vinginevyo ni washukiwa tu na hawastaili kuuliwa. Hii inatoa mwanya kutumika kinamna, naweza kuja kukuua wewe (mie kama polisi) tukaiweka ionekane nicase ya jambazi kauliwa.
 
Kuna neno hapo alitamka ruksa kuua Raia wema?

Unaongea utoto gani? Rais ni mahakama kwamba anajua nani ni raia mwema? Utaratibu wa mtu asiye rais mwema ni kuuliwa na polisi? Hivyo ndio sheria zetu zinavyotaka au ni utashi wa rais?
 
Hoja je ni kweli mhe Rais alitamka bayana km kile Tundu anavyotaka kuaminisha watu?
 
Sasa kwa nini Tundu asiseme kweli kwamba Mhe Rais hakumaanisha vile na anabaki kusema uongo kwamba Magufuli karuhusu Askari waue Raia wema?

Hivi unadhani ww ndio ulimsikiliza Lissu mwenyewe? Hata Akwilina alikuwa raia mwema na aliuwawa na polisi, je hatua gani alichukuliwa polisi aliyemuua?
 
Kuna upotoshaji mwingi sana anaoufanya Tundu.Hasa la Rais kuruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia.

Kilichosemwa na Mhe Rais ni Askari asikamatwe kwa kosa la yeye kupambana na kuhatarisha usalama wake na jambazi!Alienda mbele zaidi katika mapambano ya aina hiyo na wahalifu ni vyema Askari wakapewa kongole na ikibidi wapandishwe vyeo kwa kutimiza wajibu wao vyema.

Sasa sijui huyo Tundu anapata wapi nguvu na ujasiri wa kutuhumu uongo kwa kiwango kile!

Anyway,ma ambayo rais alitoa kauli hiyo, tusiandikie mate na wino upo
 
Hata tutetee vipi, kauli ya Rais kuruhusu Polisi kuua watuhumiwa, ilikuwa ni kauli mbaya kabisa kuwahi kutolewa na kiongozi mkuu kama yeye ambaye alistahili kuwa mfano wa kuzingatia sheria.

Polisi wetu hawa ambao huwawekea watuhumiwa hata bangi, huua raia na kusingizia kuwa ni majambazi, huua mahabusu na kusingizia wamekufa vifo vya kawaida, leo kiongozi mkuu anawaruhusu waue watuhumiwa, na wakiua wasishtakiwe bali wapandishwe vyeo, kauli hiyo ilimshtua kila mwenye akili timamu.

Narudia tena, ile kaulinilikuwa mbaya kabisa ambayo sidhani kama kuna kiongozi mkuu yeyote, hata yule mbaya namna gani, aliwahi kuotamka dhidi ya raia wake.
 
Sasa kwa nini Tundu asiseme kweli kwamba Mhe Rais hakumaanisha vile na anabaki kusema uongo kwamba Magufuli karuhusu Askari waue Raia wema?
Kina Lwaitara walipohamia CCM na kutoa sababu za uzushi na uongo juu ya Mbowe uliwahi kuhoji usahihi wa kauli zao?

Ovyo kabisa nyie!!
 
Back
Top Bottom