Hakuna popote Rais Magufuli aliruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia wema!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
Kuna upotoshaji mwingi sana anaoufanya Tundu.Hasa la Rais kuruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia.

Kilichosemwa na Mhe Rais ni Askari asikamatwe kwa kosa la yeye kupambana na kuhatarisha usalama wake na jambazi!Alienda mbele zaidi katika mapambano ya aina hiyo na wahalifu ni vyema Askari wakapewa kongole na ikibidi wapandishwe vyeo kwa kutimiza wajibu wao vyema.

Sasa sijui huyo Tundu anapata wapi nguvu na ujasiri wa kutuhumu uongo kwa kiwango kile!

Anyway,malipo ya uongo wake soon yatajibu.
 
PumziNdefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
565
1,000

Je ni nani anayeamua mtu fulani ni jambazi au la??
Je unajua wale mapolisi walio muua mdogo wake Heche akiwa amefungwa pingu nao pia waliachiliwa kwa kauli hiyo??
Utawala wa sheria uko wapi??
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
2,545
2,000
Kuna kauli fulani za utata ziliwahi kutolewa, tatizo ni pale askari wanapoweza kuzitumia kauli hizo kutimiza uovu huku wakiwa na baraka za mkuu wetu.

Kuna kipindi majambazi wengi walipelekwa porini ili kuonyesha wenzao ama wapi walipoficha silaha zao halafu wakajaribu kutoroka na kupigwa risasi miguuni na kufa !
 
Sasa kwa nini Tundu asiseme kweli kwamba Mhe Rais hakumaanisha vile na anabaki kusema uongo kwamba Magufuli karuhusu Askari waue Raia wema?
 
alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
Tatizo ni tafsiri ya neno jambazi, wapo askari wanaoweza kutumia kauli hii hii kutimiza ajenda zao za kiovu na kupandishwa vyeo

Ulishawahi kutekwa,kupigwa,kuibiwa ama kunyanyaswa na mziki wa majambazi au vibaka?!
 
2013

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
11,330
2,000
Acheni porojo zenu. Tangu dunia iumbwe, Serikali kupitia wawakilishi wake from top to bottom, haijawahi kuweza kuyajibu madai yanayotolewa na Zitto na Lisu.
Nyie Akina Nani mnaobuni maswali na kuyajibu wenyewe bila wahusika kujua?
 
Jibu hoja!
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
2,545
2,000
Ulishawahi kutekwa,kupigwa,kuibiwa ama kunyanyaswa na mziki wa majambazi au vibaka?!
Nimewahi na nina chuki dhidi ya hao wahalifu, lakini chuki hiyo hainipi mamlaka ya kuchukua hatua haraka, kabla ya vyombo husika kutimiza mamlaka yake, polisi akiwa ndio mtoa hukumu kwa haraka inawezekana akaongeza ufanisi lakini vile vile akaongeza uhalifu.

Ukumbuke "Power corrupts, absolute power corrupts absolutely" ndio maana kuna mihimili tofauti inayojitegemea ili kutoa adhabu kwa muhusika.
 
2013

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
11,330
2,000
Jibu hoja!
Sikuona sababu ya kujibu. LAKINi hata nikisema ndio nitakua sahihi pia, kwasababu Nikirejea Kesi ya kipindi cha nyuma ya Kamanda Zombe, ilidaiwa Askari kupongezwa na kuhaidiwa kupandishwa vyeo baada ya Kufanya Mauaji.

Mimi Ni Nani hata nithubutu kupuuza mawazo na fikra Kama hizo ikiwa ni kweli zimeibuliwa na manguli ambao serikali haijawahi kuthubutu kuwashinda kwa hoja iwe mahakamani ama kwenye media kubwa nchini?!.
 
Nadu

JF-Expert Member
Jul 19, 2018
263
250
Kuna upotoshaji mwingi sana anaoufanya Tundu.Hasa la Rais kuruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia.

Kilichosemwa na Mhe Rais ni Askari asikamatwe kwa kosa la yeye kupambana na kuhatarisha usalama wake na jambazi!Alienda mbele zaidi katika mapambano ya aina hiyo na wahalifu ni vyema Askari wakapewa kongole na ikibidi wapandishwe vyeo kwa kutimiza wajibu wao vyema.

Sasa sijui huyo Tundu anapata wapi nguvu na ujasiri wa kutuhumu uongo kwa kiwango kile!

Anyway,malipo ya uongo wake soon yatajibu.
Njia nzuri night kuweka hotuba zote hapa tuchambue wenyewe bola wewe kufanya paraphrasing

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
12,979
2,000
Kuna upotoshaji mwingi sana anaoufanya Tundu.Hasa la Rais kuruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia.

Kilichosemwa na Mhe Rais ni Askari asikamatwe kwa kosa la yeye kupambana na kuhatarisha usalama wake na jambazi!Alienda mbele zaidi katika mapambano ya aina hiyo na wahalifu ni vyema Askari wakapewa kongole na ikibidi wapandishwe vyeo kwa kutimiza wajibu wao vyema.

Sasa sijui huyo Tundu anapata wapi nguvu na ujasiri wa kutuhumu uongo kwa kiwango kile!

Anyway,malipo ya uongo wake soon yatajibu.
Unakumbuka kisanga cha askari kuua wafanyabiashara wa madini kwa kuwasingizia kuwa ni majambazi?Baadaye mahakama ikathibitisha kuwa waliwaua ili wawapore madini!!!
Awamu hii na kwa matamko haya,unadhani hao askari wangechunguzwa?Tafakari sana!!!
 
mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
2,641
2,000
Ni kutokujua Lugha tu.We unataka kuaminisha watu kuwa Magufuli anataka Askari wake wapambane na wahalifu,majambazi kwa bidii kwa kauli ile niliyoisikia?Magufuli anataka mtu yeyote anayetoa chokochoko afe.Anapenda sana damu imwagike yule mshikaji.
Pale ile ni kauli ya kuwapa ualfa na uumega polisi ndio maana unaona awamu hiii polisi wanafanya vitu kama vibaka na waporaji.
kwake akisikia polisi wameua moyo wake unasuuzika haswa.
Mwambieni huyo mshimaji wenu Damu anazopenda kila siku kusema zishughulikiwe hata kama si kwa kuua lakin majeraha yake na damu zitamlilia.
Kuna possibility ya kulinda amani na kudhibiti uhalifu bila kuua raia.wote tumeona kwa Mawazo,Akwikina,Mwangosi na kule kibiti.Ukifurahia kuua sana mwisho wake nchi/ardhi inalaanika kama uarabuni kulivyojangwa.Tutakufa njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom