Hakuna popote Rais Magufuli aliruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia wema!

Kuna upotoshaji mwingi sana anaoufanya Tundu.Hasa la Rais kuruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia.

Kilichosemwa na Mhe Rais ni Askari asikamatwe kwa kosa la yeye kupambana na kuhatarisha usalama wake na jambazi!Alienda mbele zaidi katika mapambano ya aina hiyo na wahalifu ni vyema Askari wakapewa kongole na ikibidi wapandishwe vyeo kwa kutimiza wajibu wao vyema.

Sasa sijui huyo Tundu anapata wapi nguvu na ujasiri wa kutuhumu uongo kwa kiwango kile!

Anyway,malipo ya uongo wake soon yatajibu.
Nini vyeo vya kipolisi wengine wameukwaa ujaji kwa kuwaonea wapinzani!!!
 
Kuna upotoshaji mwingi sana anaoufanya Tundu.Hasa la Rais kuruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia.

Kilichosemwa na Mhe Rais ni Askari asikamatwe kwa kosa la yeye kupambana na kuhatarisha usalama wake na jambazi!Alienda mbele zaidi katika mapambano ya aina hiyo na wahalifu ni vyema Askari wakapewa kongole na ikibidi wapandishwe vyeo kwa kutimiza wajibu wao vyema.

Sasa sijui huyo Tundu anapata wapi nguvu na ujasiri wa kutuhumu uongo kwa kiwango kile!

Anyway,malipo ya uongo wake soon yatajibu.
Kweli hakuna ni spinning tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna upotoshaji mwingi sana anaoufanya Tundu.Hasa la Rais kuruhusu Askari wapandishwe vyeo kwa kuua Raia.

Kilichosemwa na Mhe Rais ni Askari asikamatwe kwa kosa la yeye kupambana na kuhatarisha usalama wake na jambazi!Alienda mbele zaidi katika mapambano ya aina hiyo na wahalifu ni vyema Askari wakapewa kongole na ikibidi wapandishwe vyeo kwa kutimiza wajibu wao vyema.

Sasa sijui huyo Tundu anapata wapi nguvu na ujasiri wa kutuhumu uongo kwa kiwango kile!

Anyway,malipo ya uongo wake soon yatajibu.
Yeye yupo majuu anatimiza wajibu wake kama mbunge na mhanga wa kushambuliwa na marisasi 38

In God we Trust
 
Hata kama wana chuki binafsi na Rais lkn isiwe kwa uzushi wa kiwango kile!
Naona sasa mmeanza kukimbilia kigamboni
FB_IMG_1550033981432.jpeg

In God we Trust
 
Kuna kauli fulani za utata ziliwahi kutolewa, tatizo ni pale askari wanapoweza kuzitumia kauli hizo kutimiza uovu huku wakiwa na baraka za mkuu wetu.

Kuna kipindi majambazi wengi walipelekwa porini ili kuonyesha wenzao ama wapi walipoficha silaha zao halafu wakajaribu kutoroka na kupigwa risasi miguuni na kufa !

Mkuu salute umemaliza kazi kwa wabishi wote hasa wa kutoka ule ukoo wa panya

In God we Trust
 
Hata jambazi mwenyewe bado ni raia mwema mpaka pale itakapothibitishwa na vyombo vya kisheria kuwa si raia mwema na hasitahili kuuawa kwa namna yote mpaka vyombo vya sheria vitakapo toa adhabu sitahili kwake.
 
Back
Top Bottom