Hakuna pa kukimbilia, hakuna pa kujificha!

Hakuna pa kukimbilia, hakuna pa kujificha!

Anamjua hadi Swabaha Mchachu😂😂😂
Huyu msukuma kiboko 🙌😹😹😹
Ndio msukuma wa kwanza kumsikia anajua majina ya waimba taarabu, km ndo mmeo ngabu mkigombana anaweza kukuchamba na taarabu…!! 😹🤣

Nyani Ngabu hebu weka vibao vingine vya taarabu niwachambe wanaonichokoza humu JF 😹
 
View attachment 3345996

Mama yenu kabanwa kila kona sasa.

Hatua ifuatayo ni kupiga kolabo na Mariam Khamis na Sabaha Salum Muchacho wadondoshe singo ya ‘kelele zenu hazijanikera bado’!


View: https://youtu.be/cnTw0nSuWDM?si=9scOsjqJleX065Ra

Tena wanabahati sana na washukuru Mungu, kurudi kwao salama wakiwa hai,maana huu ujinga wangeufanya kwa Traore, naawambia ukweli wasingerudi makwao! Vita ya Uchumi wa Africa ni ngumu sana,na usipokua makini unadondoshwa hivi hivi unajiona!!
 
Nkamu kasema Sabaha sio swabaha 😹😹
Wewe unasema unapenda taarabu na majina huyajui vizuri, namna gani nkamu..!! 🤣
😂😂😂😂😂 Nimezidiwa hadi na Ngabu😆
Mie huwa nawaangalia tu Shamra usiku wa pwani.
Ngabu anawajua hadi majina bila kuikosea😂
 
Huyu msukuma kiboko 🙌😹😹😹
Ndio msukuma wa kwanza kumsikia anajua majina ya waimba taarabu, km ndo mmeo ngabu mkigombana anaweza kukuchamba na taarabu…!! 😹🤣

Nyani Ngabu hebu weka vibao vingine vya taarabu niwachambe wanaonichokoza humu JF 😹
Huyu anawachamba na taarabu
Wale wa viingereza uchwara Ngabu anachamba hadi wachanganyikiwe na misamiati yake😆
 
Hoping and praying that one day tutakaa na kujadili ishu muhimu kama hizi bila mihemko tukajiuliza tu kwa akili ya kawaida.

Ingekuaje wale wanaharakati wa nchi jirani wangeruhusiwa kushiriki kesi ya Lisu kama wale watanzania waliokuwa wamezuiwa walivyoruhusiwa ni nini kingetoke wangevujaje amani wangeharibu vipi hii tunu yetu ukilinganisha na matokeo ya maamuzi mbadala?!

Kuna kitu hakipo sawa nadhani tunaongozwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri, kuna mtu au watu wenye nia mbaya na wanatumia kila fursa wanayoipata kumharibia mtawala au vyote kwa pamoja.

Yote kwa yote muda utasema.
 
Usiku kuna genge lipo JF mda huu sio kutoa mada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom