Hakuna pa kukimbilia, hakuna pa kujificha!

Well hana knowledge hiyo, na nina mashaka na washauri wanaomzunguka
Binafsi ningewapa na usafiri kuwaonyesha uungwana wetu watanzania lakini ningewabana kwenye masuala fulani, kwisha!, kuhusu wanao washwa washwa, nisinge wapoteza no, ningewahifadhi, watulimie mahindi,huko pasipojulikana!, nisinge tesa mtu wala kudhuru mwili no, tuna ardhi kubwa nzuri tu kwa kilimo!,
 
Huwez wahifadhi watu bila kosa or mambo ya kisheria, hayo unayotaka kufanya ungefanya in 70s na 80s yes ingewezekana
But dunia ime advance sana, the moment umewatoa nje kufanya activity yoyote ile kazima wataonekana some how some way na taarifa zitavuja

Problem with that itatengenezea nchi maadui wasio wa lazima na majirani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom