Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,313
- 144,705
- Thread starter
- #141
Why is it not fair?Nyani Ngabu this isn't fair
Why is it not fair?Nyani Ngabu this isn't fair
Ila yule Dada wa Uganda kama kweli alibakwa basi hata mimi sitakuwa na huruma na huyu mama na nitamuona katili asiyejali utu wa mwanamke mwenzie.Kwa anavyojifanya kiziwi acha yamkute
Shida siyo kudondokea.Presidents huwa wanajiandaa au kuandaliwa. Inapotokea mtu akaudondokea bila kujiandaa/kuandaliwa, madhara yake ni makubwa sana
Ila Ngabu 😆😂😂😂😂Hahahaa Anna bana!
Kwani kumjua Sabaha Salum kuna ugumu gani?
Si ni kiasi cha kusikiliza redio tu na kuangalia TV/ YouTube. Wala siyo rocket science kama una masikio na macho.
Taarab ni moja ya fani bora kabisa kuwahi kutokea hapa ukanda wa Afrika Mashariki.
Nikupe dokezo dogo: ukitaka kupanua wigo wa msamiati wako wa Kiswahili [tahajia, matamshi, na lulu zingine za lugha hiyo], basi sikiliza taarab.
Najua kuna dhana kuwa taarab ni uswahili [whatever that is].
Hiyo ni dhana potofu na iliyo ya kijinga.
Kimaudhui, nyimbo nyingi za taarab hazina tofauti na nyimbo za rap battles.
Lakini unakuta jinga jinga limekomaa kuiponda taarab kuwa ni mambo ya Kiswahili huku likishangilia na kujiona liko sophisticated kwa kusikiliza rap battles za akina Remy Ma na Niki Minaj.
Jokha Kasim akiachia ‘domo la udaku’ kumjibu Leila Rashid, inaonekana ni mambo ya Kiswahili.
Lakini Kendrick Lamar akimjibu Drake, inaonekana ndo ujanja/ sophistication.
Ndo yaleyale ya mtu akiongea pumba kwa Kiswahili, anaonekana fala, lakini akiongea pumba hizo hizo kwa Kiingereza anaonekana wa maana/ msomi.
Yote ni mipasho, ila ni kwa lugha tofauti. Lakini moja inachukuliwa kwa dharau halafu ingine inapaishwa!
Sexyy Red kibongobongo si ajabu anaonekana wa maana kwa sababu ya Kiingereza. Lakini wale wacheza vigodoro wa Mwananyama Kisiwani, wao wana mambo ya Kiswahili.
Niko ‘eclectic’ katika nyanja zote za maisha 😉.
Mambo ya taarab yametosha kwa leo. Tukutane kwingine kujadili mambo ya beyond the observable universe, hadron collider, na kadhalika.
View attachment 3345996
Mama yenu kabanwa kila kona sasa.
Hatua ifuatayo ni kupiga kolabo na Mariam Khamis na Sabaha Salum Muchacho wadondoshe singo ya ‘kelele zenu hazijanikera bado’!
View: https://youtu.be/cnTw0nSuWDM?si=9scOsjqJleX065Ra
Alishasema anataka kuwa kama MuseveniShida siyo kudondokea.
Shida mtu snqdondokea na hataki kunyanyuka,,anaanxa kunga'ang'ana.
Sawa trump hawatukani raia wake.Ukisha kua public figure, kuchora ni jambo la kawaida,anachorwa Trump itakua Mama!!
View attachment 3345996
Mama yenu kabanwa kila kona sasa.
Hatua ifuatayo ni kupiga kolabo na Mariam Khamis na Sabaha Salum Muchacho wadondoshe singo ya ‘kelele zenu hazijanikera bado’!
View: https://youtu.be/cnTw0nSuWDM?si=9scOsjqJleX065Ra
Mutu enye amekalia kiti ya marehemuHajui anapita tuu kama wengine walivyopita, fanya kazi nzuri sio kuteka na kuua watu usiokubaliana nao kisiasa
Toka lini mwanamke akawa anatumia reasoning badala ya emotions? Ndio maana wamarekani wamekataa kuongozwa na wanawakeKuna hatari ya mama kuwa dikteta tunzeni hii comment
Sababu hajui kucontrol emotions, si unaona wenzake akina Ramaphosa wameshtikizwa huko US ila unaona mwamba anautulivu hapanic wala nini
Acha na wengine wang’are bana.Khadija kopa unamsahau
Imagine angekuwepo leo+Tundu+Gwajima+Mpina+KitimaHuyu Mzee alikuwa mtata sana.
Msameheni alikuwa periodKuna hatari ya mama kuwa dikteta tunzeni hii comment
Sababu hajui kucontrol emotions, si unaona wenzake akina Ramaphosa wameshtikizwa huko US ila unaona mwamba anautulivu hapanic wala nini
Alinunua ndege ya kupigia misele, vipi mbona hatoki huko nje siku hizi akiwa na kundi la mabongo fleva na malaya wa bongo movie?Hakimbii wala hajifichi. Hizi ni kelele za chura tu tahamaki 2030 hiyo Mama anazunguka kuaga
Uzuri na mashahidi wanaendelea kujitokeza hadharani bila hata aibuNa ICC ijiandawe kupokea WATUHUMIWA.....
Pasinge kalika humu ndani.Imagine angekuwepo leo+Tundu+Gwajima+Mpina+Kitima
Anapumzika tu. Kwa sasa anawatuma wasaidizi kama leo Majaliwa yuko JapanAlinunua ndege ya kupigia misele, vipi mbona hatoki huko nje siku hizi akiwa na kundi la mabongo fleva na malaya wa bongo movie?