Hakuna pa kukimbilia, hakuna pa kujificha!

Huyu anawachamba na taarabu
Wale wa viingereza uchwara Ngabu anachamba hadi wachanganyikiwe na misamiati yake😆
Namuonaga mi si big fan wa nyuzi zake, kuna siku aliingilia ugomvi hata haumuhusu tena kakomalia anamjaza member aliyekuwa anagombana na huyo mdada eti “ Akitokea nishtue nna taarifa zake zote asikusumbue na mtusi juu akamalizia” 😹😹😹

Roho iliniuma halafu dada wa watu mpole sijui alimnyima nini mpk akamkalia kooni vile!! 🤣
 
Anamjua hadi Swabaha Mchachu😂😂😂
Hahahaa Anna bana!

Kwani kumjua Sabaha Salum kuna ugumu gani?

Si ni kiasi cha kusikiliza redio tu na kuangalia TV/ YouTube. Wala siyo rocket science kama una masikio na macho.

Taarab ni moja ya fani bora kabisa kuwahi kutokea hapa ukanda wa Afrika Mashariki.

Nikupe dokezo dogo: ukitaka kupanua wigo wa msamiati wako wa Kiswahili [tahajia, matamshi, na lulu zingine za lugha hiyo], basi sikiliza taarab.

Najua kuna dhana kuwa taarab ni uswahili [whatever that is].

Hiyo ni dhana potofu na iliyo ya kijinga.

Kimaudhui, nyimbo nyingi za taarab hazina tofauti na nyimbo za rap battles.

Lakini unakuta jinga jinga limekomaa kuiponda taarab kuwa ni mambo ya Kiswahili huku likishangilia na kujiona liko sophisticated kwa kusikiliza rap battles za akina Remy Ma na Niki Minaj.

Jokha Kasim akiachia ‘domo la udaku’ kumjibu Leila Rashid, inaonekana ni mambo ya Kiswahili.

Lakini Kendrick Lamar akimjibu Drake, inaonekana ndo ujanja/ sophistication.

Ndo yaleyale ya mtu akiongea pumba kwa Kiswahili, anaonekana fala, lakini akiongea pumba hizo hizo kwa Kiingereza anaonekana wa maana/ msomi.

Yote ni mipasho, ila ni kwa lugha tofauti. Lakini moja inachukuliwa kwa dharau halafu ingine inapaishwa!

Sexyy Red kibongobongo si ajabu anaonekana wa maana kwa sababu ya Kiingereza. Lakini wale wacheza vigodoro wa Mwananyama Kisiwani, wao wana mambo ya Kiswahili.

Niko ‘eclectic’ katika nyanja zote za maisha 😉.

Mambo ya taarab yametosha kwa leo. Tukutane kwingine kujadili mambo ya beyond the observable universe, hadron collider, na kadhalika.
 
Wamarekani wao kimyakimya wazivuta Data na waangalia "inner circle" imekaaje kabla ya kuto uamuzi wa mwisho.

Kuna kibao kimoja cha Jokha kiitwacho Chunga chungio mtu aambiwa "zigo ulojitwisha hakuna wa kulitua".

Nadhani ndo kinoendelea huko kwenye viwambaza, nje bungeni au hata kwenye "grey area" (kakikundi).
 
Attachments

  • 20240908_151114.jpg
    20240908_151114.jpg
    79.6 KB · Views: 11
Wamarekani wao kimyakimya wazivuta Data na waangalia "inner circle" imekaaje kabla ya kuto uamuzi wa mwisho.

Kuna kibao kimoja cha Jokha kiitwacho Chunga chungio mtu aambiwa "zigo ulojitwisha hakuna wa kulitua".

Nadhani ndo kinoendelea huko kwenye viwambaza, nje bungeni au hata kwenye "grey area" (kakikundi).
Ooh….kumbe wapenzi wa Jokha tupo humu na wala hatujuani 🤣.
 
Namuonaga mi si big fan wa nyuzi zake, kuna siku aliingilia ugomvi hata haumuhusu tena kakomalia anamjaza member aliyekuwa anagombana na huyo mdada eti “ Akitokea nishtue nna taarifa zake zote asikusumbue na mtusi juu akamalizia” 😹😹😹

Roho iliniuma halafu dada wa watu mpole sijui alimnyima nini mpk akamkalia kooni vile!! 🤣
Ngabu huwa ananichekesha akianza kubishana😂😂😂😂😂
Ngabu ni Chuma..
Sema akiwa upande uliopo ndio anafurahisha.
 
Hahahaa Anna bana!

Kwani kumjua Sabaha Salum kuna ugumu gani?

Si ni kiasi cha kusikiliza redio tu na kuangalia TV/ YouTube. Wala siyo rocket science kama una masikio na macho.

Taarab ni moja ya fani bora kabisa kuwahi kutokea hapa ukanda wa Afrika Mashariki.

Nikupe dokezo dogo: ukitaka kupanua wigo wa msamiati wako wa Kiswahili [tahajia, matamshi, na lulu zingine za lugha hiyo], basi sikiliza taarab.

Najua kuna dhana kuwa taarab ni uswahili [whatever that is].

Hiyo ni dhana potofu na iliyo ya kijinga.

Kimaudhui, nyimbo nyingi za taarab hazina tofauti na nyimbo za rap battles.

Lakini unakuta jinga jinga limekomaa kuiponda taarab kuwa ni mambo ya Kiswahili huku likishangilia na kujiona liko sophisticated kwa kusikiliza rap battles za akina Remy Ma na Niki Minaj.

Jokha Kasim akiachia ‘domo la udaku’ kumjibu Leila Rashid, inaonekana ni mambo ya Kiswahili.

Lakini Kendrick Lamar akimjibu Drake, inaonekana ndo ujanja/ sophistication.

Ndo yaleyale ya mtu akiongea pumba kwa Kiswahili, anaonekana fala, lakini akiongea pumba hizo hizo kwa Kiingereza anaonekana wa maana/ msomi.

Yote ni mipasho, ila ni kwa lugha tofauti. Lakini moja inachukuliwa kwa dharau halafu ingine inapaishwa!

Sexyy Red kibongobongo si ajabu anaonekana wa maana kwa sababu ya Kiingereza. Lakini wale wacheza vigodoro wa Mwananyama Kisiwani, wao wana mambo ya Kiswahili.

Niko ‘eclectic’ katika nyanja zote za maisha 😉.

Mambo ya taarab yametosha kwa leo. Tukutane kwingine kujadili mambo ya beyond the observable universe, hadron collider, na kadhalika.
Nyani hujambo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom