Hakuna pa kukimbilia, hakuna pa kujificha!

Hakuna pa kukimbilia, hakuna pa kujificha!

Hakuna kitu kinawakera watu kama issue ya utekaji. Issue kama hii binafsi imenifanya nijiulize,Hawa watekaji Wana roho za namna gani? Wanaenda kwenye nyumba za ibada kuswali na kusali? Au ni wale wanaofanya uovu wakistaafu wanashinda kwenye nyumba za ibada wakiomba toba?
 
Halafu anachukizwa na ufisadi ku leak mtandaoni!

She’s hopelessly clueless and dangerously incompetent.
Hawa wahuni wanamzoom tu, akiitwa Washington asikubali kwenda itakuwa disaster.
FB_IMG_1746803887610.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom