Hilo dege alinunua kwaajili yake, siyo wasaidiziAnapumzika tu. Kwa sasa anawatuma wasaidizi kama leo Majaliwa yuko Japan
View: https://x.com/MwangiMaina_/status/1887557220461854725/video/1
Hilo dege alinunua kwaajili yake, siyo wasaidiziAnapumzika tu. Kwa sasa anawatuma wasaidizi kama leo Majaliwa yuko Japan
Hilo dege alinunua kwaajili yake, siyo wasaidizi
View: https://x.com/MwangiMaina_/status/1887557220461854725/video/1
I miss you too aunt😆😂😂😂😂
Itabidi niwe makini na majina aisee!
Siyo tunakariri tu nyimbo majina tunakosea.
Btw amenikosha sana kwa kumtaja huyu mama Swabaha😂😂😂😂😂
Hadi nimemkumbuka Aunt yangu Aaliyyah kwenye kipindi chetu pendwa cha raha za pwani.
kama Taifa tuna jukumu la kuwatumikia wananchi wa Tanazania. Kubabaika na vitu nonsense ni kupoteza wakati tu gentleman 🐒
Kwani hapa nimesema ni yake binafsi??Na kuna matajiri wengi tu wananunua vitu kwa ajili yao lkn wanawaachia watoto na wake zao. Cha ajabu nini wakati ndege sio yake binafsi
Sawa. Ni wakati wake kujidai.Kwani hapa nimesema ni yake binafsi??
Anaweza pia akaifanya yake binafsi, utamfanya nini?
Mtu anachukua uhai wa watu atashindwa nini kuchukua ndge
View attachment 3345996
Mama yenu kabanwa kila kona sasa.
Hatua ifuatayo ni kupiga kolabo na Mariam Khamis na Sabaha Salum Muchacho wadondoshe singo ya ‘kelele zenu hazijanikera bado’!
View: https://youtu.be/cnTw0nSuWDM?si=9scOsjqJleX065Ra
Tatizo lenu hamjui kupiga kura,ndiyo maana kura zenu zinaharibika kwenye box la kura!!Kati ya wote hao hakuna aliyepatikana kwa kura zetu joh
Miss you More AuntieI miss you too aunt
Umeadimika
Lini hiyo sijafatilia nipe siku kwanza nijiandaeMiss you More Auntie
Tumefikiwa wadau wa Usiku wa raha za pwani😂😂😂
Mama yetu Mchacho katajwa🔥🔥
Nikakukumbuka Auntie yangu.
Hivi shamrashamra ni lini tena jamani
Siku zimeenda sana nimemiss hekaheka za taarabu la live.
Me nilimwamini .siku4 zote wanamfanya nini?Ila yule Dada wa Uganda kama kweli alibakwa basi hata mimi sitakuwa na huruma na huyu mama na nitamuona katili asiyejali utu wa mwanamke mwenzie.
Mtoa mada amewataja wasanii wetu wa taarabLini hiyo sijafatilia nipe siku kwanza nijiandae
😹😹😹 Uwe unamfatilia ngabu ili kuwajua waimba taarabu wote..!.!😆😂😂😂😂
Itabidi niwe makini na majina aisee!
Siyo tunakariri tu nyimbo majina tunakosea.
Btw amenikosha sana kwa kumtaja huyu mama Swabaha😂😂😂😂😂
Hadi nimemkumbuka Aunt yangu Aaliyyah kwenye kipindi chetu pendwa cha raha za pwani.
Ni wa hovyo tu 😹😹Ngabu huwa ananichekesha akianza kubishana😂😂😂😂😂
Ngabu ni Chuma..
Sema akiwa upande uliopo ndio anafurahisha.
Sema watu huwa wanamchokoza wenyewe😆😂Ni wa hovyo tu 😹😹
Kwa ile mitusi apewe tuzo, ila asituharibie binti yetu m-cute mshunuu 🥰🥰
Sema nampenda sana mtoto wake, kale kabinti kazuri sana’aaa 😍😍
Halafu ss hivi hata haweki pics zake napenda sana vitoto, Mungu anipe na mimi kamoja lol!! 😥
Ngabu Mimi fan wake kitambo😂😂😂😹😹😹 Uwe unamfatilia ngabu ili kuwajua waimba taarabu wote..!.!